Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Mh. Madam speaker, kwa kuwa serikali yetu inaajiri wanajeshi kila mwaka, na kwa kuwa hakuna kitu wafanyacho zaidi ya kula na kukimbizana na raia. Na kwa kuwa serikali yetu inanunua silaha kila mwaka na silaha hizo hazitumiki ipasavyo na kwa wakati na hatimaye kuharibika na kudhuru raia kama ilivyotokea Mbagala na G'mboto. Je serikali haioni umuhimu wa kukodisha wanajesh wetu ili tupate nyongeza ya pato la kigeni? Na je, serikali haioni umuhimu wa kuomba vita vya kirafiki na jirani zetu ili kuchangamsha wanajeshi wetu na kutumia silaha ili zisilipuke ovyo?
Hongera sana mbunge kwani raia wa TZ watapumzika vipigo vya kila mara toka kwa hizi njemaba zilizoshiba na haziko busy. Wacha wakapigane na wababe wenzao hata kama ni somalia. Mfano mzuri ni Museveni na wanajeshi wake.Mh. Madam speaker, kwa kuwa serikali yetu inaajiri wanajeshi kila mwaka, na kwa kuwa hakuna kitu wafanyacho zaidi ya kula na kukimbizana na raia. Na kwa kuwa serikali yetu inanunua silaha kila mwaka na silaha hizo hazitumiki ipasavyo na kwa wakati na hatimaye kuharibika na kudhuru raia kama ilivyotokea Mbagala na G'mboto. Je serikali haioni umuhimu wa kukodisha wanajesh wetu ili tupate nyongeza ya pato la kigeni? Na je, serikali haioni umuhimu wa kuomba vita vya kirafiki na jirani zetu ili kuchangamsha wanajeshi wetu na kutumia silaha ili zisilipuke ovyo?
Hongera sana mbunge kwani raia wa TZ watapumzika vipigo vya kila mara toka kwa hizi njemaba zilizoshiba na haziko busy. Wacha wakapigane na wababe wenzao hata kama ni somalia. Mfano mzuri ni Museveni na wanajeshi wake.
Tulienda huko na hatukurusha risasi hata moja kinan kapten Bakar walikimbia kwani hawakuwa na jeshi la maana, Kwanini tusijiunge na waasi wa benghaz kumng'oa qhadafi, si unakumbuka namna alivyomsaidia mfalme Amin mwaka 1978/79Mimi nadhani tuombe vita vya kirafiki na Comoro ndio saizi yetu
tuombe vita ya kirafiki na Museven
Mh. Madam speaker, kwa kuwa serikali yetu inaajiri wanajeshi kila mwaka, na kwa kuwa hakuna kitu wafanyacho zaidi ya kula na kukimbizana na raia. Na kwa kuwa serikali yetu inanunua silaha kila mwaka na silaha hizo hazitumiki ipasavyo na kwa wakati na hatimaye kuharibika na kudhuru raia kama ilivyotokea Mbagala na G'mboto. Je serikali haioni umuhimu wa kukodisha wanajesh wetu ili tupate nyongeza ya pato la kigeni? Na je, serikali haioni umuhimu wa kuomba vita vya kirafiki na jirani zetu ili kuchangamsha wanajeshi wetu na kutumia silaha ili zisilipuke ovyo?
sasa sijui wataitwa jina maana timu za mpira tuna serengeti boys, maranyara boys, taifa stars hao tuwape jina lipi?
sasa sijui wataitwa jina maana timu za mpira tuna serengeti boys, maranyara boys, taifa stars hao tuwape jina lipi?