Huyu mbona simuelewi!!

Huyu mbona simuelewi!!

Mkuu ndani ya wiki2 unataka uwe umemuelewa biadamu mwenzio nje ndani? Peaneni muda mkuu hata mapacha haiwi hivyo.
 
Atasepa mpaka lini? Au kusepa ndo kutamsaidia kupata mpenzi bora?
kwani ye kasema anataka kuchonga mzinga? kwanza mwanamke kamahuyo ni mfume jike....tafakari chukua hatua!
 
Enzi za Mwl. mabinti walikuwa na swaga za hivyo, tulichofanya ni kubembeleza kwa mahaba mazito hadi unakula mzigo. Siku zinavyosonga taratibu anakuwa ana''miss'' uwepo wako ukiwa haupo. Badala ya kumvuta mkono kumwingiza chumbani yeye anakuwa anataka mwenyewe.
 
Mkuu ufafanuzi kidogo hapa kwa 'mfume jike'. Bila shaka unamaanisha mfumo jike..ndio upo hivi huo mfumo?
 
Kwa kuwa nimeshajifanya kauzu, basi sasa ngoja nipaste hiii ya enzi za mwalimu.
Enzi za Mwl. mabinti walikuwa na swaga za hivyo, tulichofanya ni kubembeleza kwa mahaba mazito hadi unakula mzigo. Siku zinavyosonga taratibu anakuwa ana''miss'' uwepo wako ukiwa haupo. Badala ya kumvuta mkono kumwingiza chumbani yeye anakuwa anataka mwenyewe.
 
Mkuu ufafanuzi kidogo hapa kwa 'mfume jike'. Bila shaka unamaanisha mfumo jike..ndio upo hivi huo mfumo?
one sided relationship...huyo ni miongoni mwa wale wenye kutaka kuangaikiwa tu wakijidai sie ndo wenye shida, na kweli ndo sisi tuna shida na ndo maana shida ikituisha tunasepa ili na mwingine mwenye shida aende akapatiwe
 
Asante sana mkuu.

Back
Top Bottom