Huyu mama watoto simwelewi kabisa

Huyu mama watoto simwelewi kabisa

Sio mnashupalia AFATILIE! Je kajiandaa na majibu WE ARE PAID FOR OUR SUSPICIONS BY FINDING WHAT WE SUSPECT!!!!!!!!

WHAT IF AKIJUA MKEWE IS CHEATING FOR REAL ???????? AMUACHE?

Wala usijiingize kwenye idara ya kijasusi! Its good to trust your wife. Wewe kaa na mkeo ama nenda kwa washauri wenu wa ndoa uwaambie mkeo kabadilika, na wewe hupendi kabisaaa, na bado unamuamini sanaaa, but asipojirekebisha utaanza kumfatilia kiundani na utakachokijua asikulaumu! Hii unampa one last chance kujifikiria upyaaaa kama bado anathamini ndoa hata kidogo.
Mi nafikiri angezingatia muda na magonjwa ya dunia ya sasa....swala la kubuy time wakati ugonjwa unauona ni ujinga na kifo kitamuumbua...
jikoki broo dont waste time kwa asiye na huruma na maisha yako na ya mwana wenu...
i repeat hiyo picha ya mkeo sio series useme huwezi forecast ni ya kibongo mwisho wake unaeleweka mapemaaaaa!!!!!!!!!
 
Unajua katika life ya ndoa kuna upendo mara mbili kuna kupenda ndoa lakini nyie wawili hampendani saana unaweza kucheat na roho isiume sana na yeye hivyo hivyo na kuna ile ya kupendana kwa kwa dhati hadi kifo kiwatenganishe hujawahi kucheat wala yeye hajawahi,ukiona manyoa.....! so tafakari chukua hatua
 
Kuwa mume sio kugegeda tu!
Kuna mabo mengi sana!
Kuna watu hawafai kuwa waume!
Ndi maana jana nikasema kuwa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/514747-msifunge-ndoa-kwasababu-mnapendana.html

Kama mtu unashindwa kujua namna ya kutatua jambo dogo kama hili,hufai kuwa mume au baba wa familia
Haya ni matokeo ya kundekeza hisia zaidi kuliko hali halisi!

Well said mkuu......vijana wengi tunaoa ili tuwe free kugegeda tu hatufikirii yaliyomo kwenye ndoa,sasa mtoa maada hata hajajua sababu za kuwepo semina kila siku na kichwa kumuuma mkewe nakuja kulialia hapa.
 
Sio mnashupalia AFATILIE! Je kajiandaa na majibu WE ARE PAID FOR OUR SUSPICIONS BY FINDING WHAT WE SUSPECT!!!!!!!!

WHAT IF AKIJUA MKEWE IS CHEATING FOR REAL ???????? AMUACHE?

Wala usijiingize kwenye idara ya kijasusi! Its good to trust your wife. Wewe kaa na mkeo ama nenda kwa washauri wenu wa ndoa uwaambie mkeo kabadilika, na wewe hupendi kabisaaa, na bado unamuamini sanaaa, but asipojirekebisha utaanza kumfatilia kiundani na utakachokijua asikulaumu! Hii unampa one last chance kujifikiria upyaaaa kama bado anathamini ndoa hata kidogo.

Kufuatilia lazima aisee. WHAT IF ANACHEAT kweli na akamletea VVU? What if kama angefuatilia angeweza kuokoa mkewe asiendelee KUCHEAT hivyo asipate VVU na kuacha watoto wakitangatanga?

Kufuatilia lazima, ila ni kuwa tayari kwa matokeo kujiandaa kisaikolojia, kimwili na kiakili.
 
Kama kuna semina na una mashaka mwambie akuonesha barua inayomtaka kwenda semina! Huko makazin kunaharibu sana tabia za watu be careful!
 
Sio mnashupalia AFATILIE! Je kajiandaa na majibu WE ARE PAID FOR OUR SUSPICIONS BY FINDING WHAT WE SUSPECT!!!!!!!!

WHAT IF AKIJUA MKEWE IS CHEATING FOR REAL ???????? AMUACHE?

Wala usijiingize kwenye idara ya kijasusi! Its good to trust your wife. Wewe kaa na mkeo ama nenda kwa washauri wenu wa ndoa uwaambie mkeo kabadilika, na wewe hupendi kabisaaa, na bado unamuamini sanaaa, but asipojirekebisha utaanza kumfatilia kiundani na utakachokijua asikulaumu! Hii unampa one last chance kujifikiria upyaaaa kama bado anathamini ndoa hata kidogo.

Shosty mguu umepona, i'm carry on praying for you.
 
For me "not a complex matter"
siwezi kutumia shoka kumenyea embe
 
.....duh... ugonjwa wa moyo ushaanza,,, mbane akwambie nini kimemsibu....


Naunga Hoja Mkono 100%: Mbona ni kitu kidogo sana? sasa hilo ndiyo jaribio labda la kwanza, Hapa unatakiwa uwe mpole na mwenye hekima ya hali ya juu, unaweza kukuta unayowaza siyo kabisaa.... Mpende mkeo hasa kipindi hiki kuliko muda wowote ule..kama kuna kitu atakuambia kwa njia mbalimbali.

Angalizo:
Kama una nyumba ndogo na mkeo anajua hapo itakuwa kazi kwelikweli full revange.
 
Kufuatilia lazima aisee. WHAT IF ANACHEAT kweli na akamletea VVU? What if kama angefuatilia angeweza kuokoa mkewe asiendelee KUCHEAT hivyo asipate VVU na kuacha watoto wakitangatanga?

Kufuatilia lazima, ila ni kuwa tayari kwa matokeo kujiandaa kisaikolojia, kimwili na kiakili.

Ndiyo mana huwa sipendi kutoa majibu mepesi yanayoibua maswali magumu.
 
Naunga Hoja Mkono 100%: Mbona ni kitu kidogo sana? sasa hilo ndiyo jaribio labda la kwanza, Hapa unatakiwa uwe mpole na mwenye hekima ya hali ya juu, unaweza kukuta unayowaza siyo kabisaa.... Mpende mkeo hasa kipindi hiki kuliko muda wowote ule..kama kuna kitu atakuambia kwa njia mbalimbali.

Angalizo:
Kama una nyumba ndogo na mkeo anajua hapo itakuwa kazi kwelikweli full revange.

Safi sana mkuu, ushauri makini kbs! Huenda mama amegundua mapungufu fulani
 
Back
Top Bottom