Huyu mama wa miaka 80 anafanya mazoezi, wewe je?

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,061
tumblr_inline_o934s68MlB1uozwca_540.jpg

Ernestine Shepherd ni mwanamama mkongwe ambaye mwaka 2010 na 2011 alitajwa na Guinness Book of World Records kuwa mwanamke mzee zaidi ambaye pia ni mkufunzi wa mazoezi ya kutunisha misuli.
tumblr_inline_o934s77Suu1uozwca_540.jpg

NIPE MAONI YAKO
 
Kila binadamu anaishi kulingana na namna Mungu alivyompangia, huwezi ukajifananisha na wenzako ukafanikiwa, you have to be yourself. Haina guarantee kwamba ukifanya mazoezi kama huyo mama basi utafika 80 kama yeye. Haipo hivyo.
 
sasa wewe hujala, huna pesa wala hujui pa kuzipata, watoto na wajukuu wamekutolea mi macho, kwambali unamuona mwenye nyumba anakuja kwako na huu ndo mwisho wa mwezi. Hiyo akili ya mazoezi na muda utavitoa wapi?

Wenye maisha mazuri ndo wanafanya mazoezi bwana, lafu huyo bibi wala sio mazoezi pekee yanayo mfanya kuwa hivyo. kala kashiba, hawazi pesa wapi pa kuzipata bali anawaza wapi pa kuzitumia.
 
Siyo kweli. Unaweza kuwa muda pamoja na hayo yote
 
Naona wewe hujawahi kupata dhiki ktk maisha yako, na uombe Sana Mungu isije kukutokea ukapata shida, shida ni kitu kingine kabisa, huwezi kuwaza kufanya mazoezi una njaa, halafu eti unasema inawekana hata Kama una shida, wewe ni Jane alcohol siyo Jane Lowassa.
 
Mkuu, whether kuna watu wanapitia shida kuliko wengine is a matter of perception. Pili, kupata muda wa mazoezi au muda wa kufanya jambo lingine lolote halina uhusiano na kuwa na dhiki kwenye maisha au kutokuwa na dhiki kwenye maisha. Nina mifano mingi tu ya watu wenye maisha mazuri lakini hawana kabisa muda wa kufanya mazoezi kwasababu wako "busy" na shughuli zao za kila siku
zinazowapa maisha mazuri (kwanini
wahangaike na mazoezi?). Kwahiyo hawa
hawana muda siyo kwasababu wana dhiki ila
kwasababu wako busy kutafuta pesa.

So, utagundua kuwa kila mtu ana sababu zake
za kutokufanya au kufanya jambo lolote.
Nyingi ya hizo sababu ni "excuses" tu na
hazina uhalisia wowote.

Nasisitiza hakuna mtu anayeweza kukosa muda wa kufanya mazoezi, iwe kwasababu ana dhiki nyingi au kwasababu ana raha nyingi. Ukweli ni kuwa mtu yeyote atashindwa kufanya mazoezi kwasababu amekosa "motivation", amekosa sababu mahsusi. Na ili kupata motivation lazima utafute uhusiano kati ya MAUMIVU ya matokeo ya kutokufanya mazoezi na RAHA ya matokeo ya kufanya mazoezi.

In short, kwa mtu anayejua kuwa mazoezi yana effect kubwa katika kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kutoambukiza kama kisukari, hypertension, au moyo, hatajiuliza mara mbilimbili juu ya kufanya mazoezi na hatakosa muda wa kufanya mazoezi. Kwasababu ameshajua uhusiano kati ya kutokufanya mazoezi na MAUMIVU ya kuugua kisukari, hypertension, na moyo au RAHA ya kutokuugua. On the other hand, mtu ambaye anajua kuwa mazoezi ni muhimu katika kutulinda na magonjwa mbali mbali lakini ameshindwa kupata uhusiano kati ya MAUMIVU au RAHA ya kutokuugua hayo magonjwa hataweza kupata muda obviously wa kufanya mazoezi. Kwake yeye it doesn't matter afanye mazoezi au asifanye at the hakuna MAUMIVU.

Hivyo ndivyo Law of PAIN and PLEASURE inavyofanya kazi.
 
Wapi kitufe cha like mods.Bibie umeongea point sana Ebu mwambie waitress akulete bia mbili ntapitisha bills soon
 
Kila binadamu anaishi kulingana na namna Mungu alivyompangia, huwezi ukajifananisha na wenzako ukafanikiwa, you have to be yourself. Haina guarantee kwamba ukifanya mazoezi kama huyo mama basi utafika 80 kama yeye. Haipo hivyo.
mazoezi yanachangia sana kurefusha maisha na afya bora ata mungu anasema jilinde na mimi nitakulinda,wewe unabugia vitu vyenye sumu halafu unasema mungu ndio anapanga umri wa kuishi,hizo ni akili matope.
kwanini wazee wa zamani walikuwa wanaishi kwa miaka mingi tofauti na sasa?hapo napo utasema mungu ndio anapanga??
 
Mkuu, whether kuna watu wanapitia shida kuliko wengine is a matter of perception. Pili, kupata muda wa mazoezi au muda wa kufanya jambo lingine lolote halina uhusiano na kuwa na dhiki kwenye maisha au kutokuwa na dhiki kwenye maisha. Nina mifano mingi tu ya watu wenye maisha mazuri lakini hawana kabisa muda wa kufanya mazoezi kwasababu wako "busy" na shughuli zao za kila siku
zinazowapa maisha mazuri (kwanini
wahangaike na mazoezi?). Kwahiyo hawa
hawana muda siyo kwasababu wana dhiki ila
kwasababu wako busy kutafuta pesa.

So, utagundua kuwa kila mtu ana sababu zake
za kutokufanya au kufanya jambo lolote.
Nyingi ya hizo sababu ni "excuses" tu na
hazina uhalisia wowote.

Nasisitiza hakuna mtu anayeweza kukosa muda wa kufanya mazoezi, iwe kwasababu ana dhiki nyingi au kwasababu ana raha nyingi. Ukweli ni kuwa mtu yeyote atashindwa kufanya mazoezi kwasababu amekosa "motivation", amekosa sababu mahsusi. Na ili kupata motivation lazima utafute uhusiano kati ya MAUMIVU ya matokeo ya kutokufanya mazoezi na RAHA ya matokeo ya kufanya mazoezi.

In short, kwa mtu anayejua kuwa mazoezi yana effect kubwa katika kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kutoambukiza kama kisukari, hypertension, au moyo, hatajiuliza mara mbilimbili juu ya kufanya mazoezi na hatakosa muda wa kufanya mazoezi. Kwasababu ameshajua uhusiano kati ya kutokufanya mazoezi na MAUMIVU ya kuugua kisukari, hypertension, na moyo au RAHA ya kutokuugua. On the other hand, mtu ambaye anajua kuwa mazoezi ni muhimu katika kutulinda na magonjwa mbali mbali lakini ameshindwa kupata uhusiano kati ya MAUMIVU au RAHA ya kutokuugua hayo magonjwa hataweza kupata muda obviously wa kufanya mazoezi. Kwake yeye it doesn't matter afanye mazoezi au asifanye at the hakuna MAUMIVU.

Hivyo ndivyo Law of PAIN and PLEASURE inavyofanya kazi.
Natamani twende pm
 
Back
Top Bottom