Huyu mama rpc wa morogoro duh!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mama rpc wa morogoro duh!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Calnde, Dec 24, 2011.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]  Nadhani mama ni jasiri sana, sijui mmewe vipi! Halafu haya mabuti nadhani yametolewa kwa idara za serikali. Tukiyachunguza sana tutakuta STK
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  nasikia mumewe ni kopro pale msamvu post..
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,953
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Yataka MOYO........yaahhhh, haya mabuti nimemuona nayo Tyson, mapya kabisa haya!!!
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kopro??? Si atakuwa anadeki nyumba daily hapo maana pozi la mmama si mchezo
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Nadhani yatakuwa yamenunuliwa na kitengo cha maafa maana katika hali ya kawaida hawawezi kuwa nayo hawa, GX V8 na mabuti inawezekana kweli?
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,025
  Likes Received: 5,193
  Trophy Points: 280
  mmmmh mi sina la kusema kwa kweli...
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hizo ni "Gum boots" za kawaida na zinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya Kilimo na mifugo.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  una laana wewe............ hahahaaaaaaaaaaaa

  Mumewe anahusikaje sasa??? umeangalia nini kwa huyu mama hadi umkumbuke mumewe?, mwanya, sura, tumbo miguu au kitambi na mabuti??

  Calnde una issues mkuu :pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound:
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Lol! Vijana laanakum!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  mie nimeshindwa kuelewa nikaishia kuuliza, naona wamenikaukia
   
 11. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hawa ndio wanaitwa wanawake majembe.....
   
 12. L

  Leornado JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Safi sana Mama, sio kina Sofia Lion kazi kupaka wanja na lipstik kazini wakati utendaji ni zero....

  Kazana hivyo hivyo atawaseme
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nafikiri kuna haja ya kuangalia upya hizi ajira za Serikalini, sizani huyu mama amepitia njia halali za kuajiriwa.
   
 14. N

  Ndole JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ahhaa Mzalendo kwani umeona nini ambacho huyo mama hana au hafai kuajiriwa serilkalini??
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,327
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  shit....unawezakuta jamaa anapigishwa gwaride every morning kuizunguka nyumba
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Toa sababu za hisia zako, vinginevyo utaonekana una wivu wa kike!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  aisee shahiba naona umekua mkali kidogo.......... Merry Xmas
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  We, mapenzi kitu kingine, acha kabisa. Unaweza kukuta mama akirudi nyumbani ukali wake na ukakamavu anauacha ofisini
   
 19. n

  nyantella JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 883
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nyote hapo mnafanana! ona jinsi unavyoyaangalia hayo mabuti, na hako ka-pinhole camera kako ukilinganisha na hilo tumbo ni kivutio tosha.
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,586
  Likes Received: 15,014
  Trophy Points: 280
  kumbe ni m mama?
   
Loading...