Huyu Malisa GJ abarikiwe!

Binafsi sikatai anachofanya malisa Mungu ambariki sana, ila ni ego driven, aisee kuna msaada wangu niliotoa kwa yule kada wa chadema mlemavu aliyekuwa anashinda stand magufuli, nikamcheki private kwa kuwa haukuwa wa hela, akaniambia ikikamilika ataniambia nitume hivyo vitu ninataka kutuma kwa ajili ya kumsadia, hakuwahi kunicheki, hakuwahi kujibu text zangu pale nilipomtafuta wala sikuwahi kujua ile challenge iliishia wapi na michango ya yule mlemavu iliishia wapi...hivyo namuangalia kwa jichonla karibu sana
Njoo pm nikupe #yake
 
Hivi huyu malisa ndo huyu malisa wa mwanza anayefilisi watu.
Nauliza tu lakini jamani.
Binafsi nimeshachangia challenge moja mtu anatakiwa kwenda India kwa matibabu Ila navyojua mchaga anazo calculation zake.
Yaani mchaga ni sawa na mzungu hawafanyi kitu bure yaani Ile Bure kabisa Ilo mie nakataa.
Hivi jamani unajua mchaga kweli ama unamsikia.
Yaani ukikutana na mchaga anakuambia kuwa watanzania wote tunafanana na tuna utu Ila sio mchaga.
December wale wachaga masikini huwa hawaendi Mana huko ni kutunishiana misuli ya pesa na madharau Kama hauna kitu.

So ukikutana na mchaga Ana tabia za kitanzania kuwa makini Kuna kitu anakitaka kwako.akikipata ndo utajua Kama haujui
Hoja ya hovyo kabisa... Uchaga, uchaga kila kona.. Sijui mmelogwa

We unamlaumu Malisa.. ila anasaidia watu.. Wewe umelifanyia nini hili taifa????

Achana kutumia nguvu zako kueneza chuki kwa wachaga .. fanya vitu tangible.. Come on! Acha uchawi
 
Mwambieni aache utoto wa kublock watu wakimkosoa ukweli....Anataka watu wanaomsifia tu.
Ingawa naona anasupport watu Hilo Ni jambo jema...lakini upande wa pili Kuna watu wengi wanamwona mpuuzi na kumdharau sio coz ya mlengo wake wa kichama Bali vitabia vyake vya mitandaoni
 
Nikila hoja anayopingwa au ni baadhi ya hoja?
Kama akihamasisha mchango ili mtu akafanyiwe matibabu akajitokeza mtu kupinga,block ni sawa yake
Hata kabla hajaanza hizo kampeni zake za kusaidia watu wenye mahitaji..toka zamani hako kajamaa Ni kapuuzi Sana...ukikapinga na kukaambia ukweli kanakublock...wengine Hata hawako Mlengo wake wa pili wa siasa lakini wanakuwa na mawazo tofauti...anataka akiandika article asifiwe tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu malisa ndo huyu malisa wa mwanza anayefilisi watu.
Nauliza tu lakini jamani.
Binafsi nimeshachangia challenge moja mtu anatakiwa kwenda India kwa matibabu Ila navyojua mchaga anazo calculation zake.
Yaani mchaga ni sawa na mzungu hawafanyi kitu bure yaani Ile Bure kabisa Ilo mie nakataa.
Hivi jamani unajua mchaga kweli ama unamsikia.
Yaani ukikutana na mchaga anakuambia kuwa watanzania wote tunafanana na tuna utu Ila sio mchaga.
December wale wachaga masikini huwa hawaendi Mana huko ni kutunishiana misuli ya pesa na madharau Kama hauna kitu.

So ukikutana na mchaga Ana tabia za kitanzania kuwa makini Kuna kitu anakitaka kwako.akikipata ndo utajua Kama haujui
Je ulichochangia hakikumfikia mlengwa au ni vipi? Naona unazunguruka na maneno mengi tu!
 
Malisa uwa hapokei pesa ya mchango bali inaenda moja kwa moja kwa mchangiwa na alisema kuwa anaepusha maneno mpaka pale watakapoanzisha taasisi.
Kutokana na anachofanya hawezi kukwepa matokeo mema ya kazi yake ikiwemo umaarufu na anaweza hata daka uongozi. Action and reaction are equal but opposite in direction
 
Muulizeni huyo Malisa wenu, hivi zile makala zake za mwanzo kabisa za mama anaupiga mwingi zimeishia wapi?
 
Binafsi sikatai anachofanya malisa Mungu ambariki sana, ila ni ego driven, aisee kuna msaada wangu niliotoa kwa yule kada wa chadema mlemavu aliyekuwa anashinda stand magufuli, nikamcheki private kwa kuwa haukuwa wa hela, akaniambia ikikamilika ataniambia nitume hivyo vitu ninataka kutuma kwa ajili ya kumsadia, hakuwahi kunicheki, hakuwahi kujibu text zangu pale nilipomtafuta wala sikuwahi kujua ile challenge iliishia wapi na michango ya yule mlemavu iliishia wapi...hivyo namuangalia kwa jichonla karibu sana
Huwa hela hapokei yeye .anaweka namba kabisa.ungekuwa unataka kutoa ungecheki na wahusika maana alishakupa no zao.
Watoaji hawana longolongo wanatuma tu .ndo maana unaona mambo yanaendelea vizuri tu kila siku
 
Hivi huyu malisa ndo huyu malisa wa mwanza anayefilisi watu.
Nauliza tu lakini jamani.
Binafsi nimeshachangia challenge moja mtu anatakiwa kwenda India kwa matibabu Ila navyojua mchaga anazo calculation zake.
Yaani mchaga ni sawa na mzungu hawafanyi kitu bure yaani Ile Bure kabisa Ilo mie nakataa.
Hivi jamani unajua mchaga kweli ama unamsikia.
Yaani ukikutana na mchaga anakuambia kuwa watanzania wote tunafanana na tuna utu Ila sio mchaga.
December wale wachaga masikini huwa hawaendi Mana huko ni kutunishiana misuli ya pesa na madharau Kama hauna kitu.

So ukikutana na mchaga Ana tabia za kitanzania kuwa makini Kuna kitu anakitaka kwako.akikipata ndo utajua Kama haujui
Kwani hela huwa anapokea yeye??
 
Mwambieni aache utoto wa kublock watu wakimkosoa ukweli....Anataka watu wanaomsifia tu.
Ingawa naona anasupport watu Hilo Ni jambo jema...lakini upande wa pili Kuna watu wengi wanamwona mpuuzi na kumdharau sio coz ya mlengo wake wa kichama Bali vitabia vyake vya mitandaoni
Huwezi kupendwa na kila mtu. Unavomchukia wewe tunaompenda inatosha.kakublock ndio stress zako za kubwabwaja kwenye ukurasa wake peleka huko
 
Je ulichochangia hakikumfikia mlengwa au ni vipi? Naona unazunguruka na maneno mengi tu!
Atoe wapi maneno tu.watoaji hawaongei wala .kila kitu kipo clear pale no ya kutuma na jina LA mpokeaji sasa malisa alimtafuta wa nini?
 
Back
Top Bottom