Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,035
- 23,880
Njoo pm nikupe #yakeBinafsi sikatai anachofanya malisa Mungu ambariki sana, ila ni ego driven, aisee kuna msaada wangu niliotoa kwa yule kada wa chadema mlemavu aliyekuwa anashinda stand magufuli, nikamcheki private kwa kuwa haukuwa wa hela, akaniambia ikikamilika ataniambia nitume hivyo vitu ninataka kutuma kwa ajili ya kumsadia, hakuwahi kunicheki, hakuwahi kujibu text zangu pale nilipomtafuta wala sikuwahi kujua ile challenge iliishia wapi na michango ya yule mlemavu iliishia wapi...hivyo namuangalia kwa jichonla karibu sana