kauzu zaidi ya dagaa
Member
- Mar 2, 2013
- 37
- 5
Katika kata moja huko mbeya, diwani mmoja aliitisha mkutano kwaajil ya kuchangishana pesa ili kujenga ukuta wa makaburi sasa diwan akatoa wazo kuwa kila mwananch atoe sh15000 sasa akauliza je kuna mtu ana swali, msela mmoja akanyanyuka akaanza kusema ivi tokea haya makabur yawepo hapa kuna maiti yoyote iliowahi kutoroka? diwani kimya. na je kama hakuna ukuta wa nini au ndo ufisadi umeanza tena,hivi wananchi tunachanga au hatuchangii....