Huyu kweli ananipenda au ananichuna tu?

Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?

ana wazazi??wana uwezo??...labda anakutegemea hana means nyengine, hata hivyo mapenzi ni communication lazima uwe na mazoea ya kusema kile ambacho kinakufurahisha ama hakikufurahishi kny mahusiano,sio km wewe jambo hulipendi unaugulia kichini chini,yule ni mpenzi wako why dont you face her and tell her kuwa hupendi tabia yake ya kukutafuta akiwa na shida tu na si vinginevyo???mwambie ungependa kuwa na mawasiliano muda wote halafu mpe muda muone kama hatajirekebisha,kama baada ya kumwambia akaendelea na hio tabia basi hakupendi anakuchuna tu hata ukimuoa atakuwa na hio tabia ya kuwa tegemezi ila kama akibadilika basi mpe nafasi nyengine,usimbwage kabla ya kumpa room for improvement.
 
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?

Kizazi cha dotcom! Xaxa, flan, k2, hv, mapenz, kwel! Nonsense!
 
A man can not ride ur back unles it's bent(by Martin luther king Jr)...we ndo mwenye matatzo hebu jichunguze
 
labda mchunwaji ungesema unatoa hela ngapi. Manake isije ikawa unatoa kijiLAKI kimoja kwa wiki 2 halafu unalalamika. DEMU SIO MKE, wajibika kidume. Ukishindwa UTASAIDIWA tu.
 
kusikia husikii hapa picha huioni?
Basi irambe unaweza pata radha yake ukaelewa.
Hapo ni hakuna kupenda unavunwa tu.
 
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?

Mbona uzi wako umeuandika kigasho gasho?!! .......
 
kwani ni lazima yeye aanze kukutafute wewe tu????. kwa nini na wewe usianze kumtafuta siku moja moja?. Anza leo, inaweza kuleta tofauti.
 
akili kichwani kwako mjomba......!! na huwa ukimwambia labda huwezi kumsaidia shida yake huwa ana-react vp? Face the truth man, halafu huo uandishi wako unanichukiza mno, hivi kwa nini uandike "xaxa" badala ya "sasa", huo ni ushamba!!

Ndio style za vijana za kuandika siku hizi huwa zinanichosha kweli kweli
 
wote wanachuna tafuta tu anayechuna kidogo yaani ndani ya uwezo wako usije lalamika tena.Au uwe una rekodi siku ya kutoa mahali una deduct prepayments.
 
msimponde sana wana jamii, swala ni kumwambia tu kuwa huyo dem sio dem, ampotezee. in fact huyo dem anakuchuna jomba
 
labda mchunwaji ungesema unatoa hela ngapi. Manake isije ikawa unatoa kijiLAKI kimoja kwa wiki 2 halafu unalalamika. DEMU SIO MKE, wajibika kidume. Ukishindwa UTASAIDIWA tu.

nahisi hata hiyo laki hua hatoi, maana angeiandika hapo labda mzinga anaopigwa ni vocha ya buku mbili na shilingi elfu 20 kwa ajili ya saloon...
 
Back
Top Bottom