Huyu kweli ananipenda au ananichuna tu?

Huyu kweli ananipenda au ananichuna tu?

Nomaa, sidhani hata kama unahitaji ushauri juu ya jambo dogo kama hilo, We kabila gani mjomba.
 
hakuchuni bana, kama vip na wewe uwe unamwambia shida zako
 
nahisi hata hiyo laki hua hatoi, maana angeiandika hapo labda mzinga anaopigwa ni vocha ya buku mbili na shilingi elfu 20 kwa ajili ya saloon...

dah.' natoboka sana ni sooo.
 
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?

we kwanini unamchunia wiki mbili zote...., halafu kama hajiwezi, kwanini usijiweke karibu naye ukajua shida zake halisi....! yawezekana anakupenda bana, jitahidi kumsawazishia shida zake!!
 
...xixi xwa xixuxi xwala htja xona xja xapo... Ixa xama xp wawexa kumxxxxx...mpaka mwixo....
Duh..!!
 
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxamara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?

Lugha gongana ..yaani wewe unafaa kuchunwa tu kama maandishi ndo haya
 
mjomba kwa swali lako ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka peke yako sioni cha kukushauri ila kumbuka pesa ni makaratasi hasara roho toa ili ubarikiwe.
 
Mmmmh kwa sisi tunavyojijua wasichana huwezi kukaa bila kumjulia hali mpz wako ata siku moja uyo atakua anakupendea pesa na kumaliza shida zake ndgndg
 
mjomba kwa swali lako ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka peke yako sioni cha kukushauri ila kumbuka pesa ni makaratasi hasara roho toa ili ubarikiwe.

Hahahahahaha, haya bana
 
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?

Huyo tupa kwenye debe la takataka........... Kwani wajinga ndio waliwao....!
 
umerogwaaaaaaaaaa sasa unataka ushauliwe nini hapo
 
Back
Top Bottom