Wewe nadhani ungekaa kimya tu uwasikilize wenzio....Huyu ni DUMA. Kuna Chui, Duma na Chitawote wote ukiwaangalia kwa haraka wanafanana na kwa mtu ambaye hawajui vzuri anaweza kushindwa kuwatofautisha na kuwaita Chui.
Mkeshaji, unapoamua kumkosoa mwenzako, uwe unatoa alternative answer, siyo kumkosoa tu na kumwacha!Wewe nadhani ungekaa kimya tu uwasikilize wenzio....
Mkuu huyo jamaa ameandika kwa kujiamini sana tena anaponda kuwa watu wengi wanawachanganya Duma na Chita. Sasa utamshauri nini mtu kama huyu.Mkeshaji, unapoamua kumkosoa mwenzako, uwe unatoa alternative answer, siyo kumkosoa tu na kumwacha!
...Jaguar, Panther, Couger, Lynxes, Ocelot? Viswahili vyake?huyo mnyama kwa kiswahili simjui ila kimombo ni Tiger. Leopard-Chui while Cheetah-duma.