Huyu kumbe ndo Joyce Kiria original!!

Halafu kuna picha kama hizo mbili upande mmoja mzungu amesinzia,
Upande mwingine Muafrika mwenye sura mbaya amesinzia huku ameachama meno nje
Pale kwenye picha ya mzungu wameandika "Sleeping"
Halafu picha ya mbongo wameandika
"Ukugona"
Mnaabisha waafrika wenzenu ndo maana tunabaguliwa
 
Jamaa anavuta hisia kwingine ili kuscore maana kama sura ni hii sjui mule mumoje.
 
kama ni yeye Kuna haja ya KUZIFUNGIA HIZI MAKE UP.... au ni JOYCE kiria RAPA
 
Zile sijui wenyewe wanaziita maskara, sijui foundation and the like, ziheshimiwe sana aisee. Bila make-up kuna watoto wanaweza kuwakataa mama zao.
 
Ebu na nyinyi mkitoka kny mazoezi na majasho yenu mjipige picha sura zenu tuzione. Tena na camera isogee kama joyce hivyo bila filter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…