Huyu kuku wa ajabu nimfanyeje?

Huyu kuku wa ajabu nimfanyeje?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,804
Wadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.

Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.

Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....

Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
 
May be it is coincidence.......labda wewe ndo unahisi ni wa ajabu lakin akawa wa kawaida...hebu jaribu kula product yake tuletee mrejesho
 
Ngoja wafungaj wa kuku waje.Huenda wakakujib kuwa atataga 51 au la!
 
kitu cha msingi chukua mayai kias na kuku kama watano nenda mitaa ya lumumba utawakuta jingalao wakudadavua motochini mtambuka na lizaboni
Wauzie kwa buku 3 3 sababu ukitaja elf 15 hawatakuwa na hyo ela kisha endapo tutawaona wanazid post pumba basi ruksa kula hao kuku na mayai ila kama wataadimika ghafla basi nakushauri USILE HAO
KUKU WALA MAYAI
 
Kwani hao kuku wana miguu mingapi??,...kama miguu ni miwili basi hakuna kitu cha ajabu hapo.
 
Hapo cyo bure lazima kuna chini ya kapeti,hujiuliz y alikung'ang'aniza umchukue na huku umepata ajali
 
Wadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.

Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.

Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....

Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
masaju bar kimara kuku wa kienyeju dili sana mkuu kauchukue laki saba na elfu 30 ukalipe deni la bod ya mikopo mkuu
 
mkuu hata kama huyo kuku angekua anatotoa bata nisingeacha kutafuna...
maajabu yanaanza kama huyo kuku anataga bila kubemendwa,vinginevyo tafuna tu mkuu
 
kitu cha msingi chukua mayai kias na kuku kama watano nenda mitaa ya lumumba utawakuta jingalao wakudadavua motochini mtambuka na lizaboni
Wauzie kwa buku 3 3 sababu ukitaja elf 15 hawatakuwa na hyo ela kisha endapo tutawaona wanazid post pumba basi ruksa kula hao kuku na mayai ila kama wataadimika ghafla basi nakushauri USILE HAO
KUKU WALA MAYAI
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sijui umewaza nini
 
Wadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.

Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.

Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....

Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
Ulikuwa na kuku wengine nyumbani kwako Mkuu?
Je, ulikuwa unamfungia bandani au alikuwa anazurura?
 
1479595855528.jpg
 
Back
Top Bottom