FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,814
- 46,936
Kaanga yai moja then lete majibu
Huu unaitwa UTAKATISHAJI.Tupiamo kapicha tuwaone kuku kwanza? Anza kwa kugawa kanisani msikitini na vituo vya watoto yatima, baada ya hapo anza kutumia
MchinjeWadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.
Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.
Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....
Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
Wewe hazimo kabisaa. Nimecheka hadi kichwa kinaumakitu cha msingi chukua mayai kias na kuku kama watano nenda mitaa ya lumumba utawakuta jingalao wakudadavua motochini mtambuka na lizaboni
Wauzie kwa buku 3 3 sababu ukitaja elf 15 hawatakuwa na hyo ela kisha endapo tutawaona wanazid post pumba basi ruksa kula hao kuku na mayai ila kama wataadimika ghafla basi nakushauri USILE HAO
KUKU WALA MAYAI
Mwendo huo kwenye uchochoro nalo ni ajabu la dunia.80!
Kisha umekunja nayo hivyo hivyo!
Pikipiki?
Bila kumsahau babarosakitu cha msingi chukua mayai kias na kuku kama watano nenda mitaa ya lumumba utawakuta jingalao wakudadavua motochini mtambuka na lizaboni
Wauzie kwa buku 3 3 sababu ukitaja elf 15 hawatakuwa na hyo ela kisha endapo tutawaona wanazid post pumba basi ruksa kula hao kuku na mayai ila kama wataadimika ghafla basi nakushauri USILE HAO
KUKU WALA MAYAI
Alikuwa analalia kwa CASH kama malipo ya BOMBA DEARahahaa nasubiri ifike zamu ya 91 ! mayai 41 alikuwa analaliaje mkuu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we pnc 1 sio mtu wa sport sportkitu cha msingi chukua mayai kias na kuku kama watano nenda mitaa ya lumumba utawakuta jingalao wakudadavua motochini mtambuka na lizaboni
Wauzie kwa buku 3 3 sababu ukitaja elf 15 hawatakuwa na hyo ela kisha endapo tutawaona wanazid post pumba basi ruksa kula hao kuku na mayai ila kama wataadimika ghafla basi nakushauri USILE HAO
KUKU WALA MAYAI
Wadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.
Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.
Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....
Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
80 uchochoroni tena kwa pikipiki hizi boda boda ni speed kubwa sana cha ajabu kapona, hapo nna mashakaMwendo huo kwenye uchochoro nalo ni ajabu la dunia.
We jamaa cio yani mpaka anataga matai yote hayo hujawai kula hata moja duuuWadau,