Msaidie kumaliziaMi naomba nishushie hapa hapa nitatembea..
Fool me once,u fool me twice shame on you!Wadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.
Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.
Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....
Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
Kuku Wa kawaida huyo hana hata shida .. Hebu Fanya hivi ..Wadau,

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kitu cha msingi chukua mayai kias na kuku kama watano nenda mitaa ya lumumba utawakuta jingalao wakudadavua motochini mtambuka na lizaboni
Wauzie kwa buku 3 3 sababu ukitaja elf 15 hawatakuwa na hyo ela kisha endapo tutawaona wanazid post pumba basi ruksa kula hao kuku na mayai ila kama wataadimika ghafla basi nakushauri USILE HAO
KUKU WALA MAYAI
Hilo ndio wazo langu mkwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe umenifurahisha, unataka kufuta kizazi cha ccm!!!!!
Acha kutumia SHISHA mkuu. Madhara yake ni dhahiri.Wadau,
Mwezi wa Februari nikiwa naendesha pikipiki nilikatiza uchochoro kwa kasi ya about 80KMP, kufumba na kufumbua kundi la kuku na wanae walikatiza mbele yangu, nilipiga breki kali huku naserereka kuwakwepa. Pikipiki ilinishinda na kunitupa kichakani. Thanks God kuku niliwakwepa ila niliumia miguuni na pikipiki iliharibika kiasi.
Bibi anatokea
Nikiwa najizoa zoa, mara alitokea bibi nyumba ya jirani akaja kuniinua huku akinishukuru kwa lugha nisiyoijua kwa kuokoa kuku wake. Nilijikaza na kuinua pikipiki mara yule bibi aliniletea kuku mdogo mweusi. Nilikataa ila aliinsist na nikamfunga kwa pikipiki, nikawasha nikaondoka japo pikipiki ilikuwa vibaya.
Maajabu yaanza
Yule kuku alikua na alitaga mayai 31, na akayatotoa yote. Baada ya kuwaacha watoto wajitegemee (walikua wote) akataga tena safari hii mayai 41 na katotoa yote....
Sasa najiwaza, huyu kuku ni wa aina gani? Je, next atataga mayai 51?Naogopa kula products zake wala kuuza. Now nina kuku 73, na nawaogopa japo nawatunza vyema.
Haya jamani hadithi hii inatufundisha nn? Anaejua nyoosha mikono juuWadau,

Pengine ndio njia ya kukutoa kiuchumi hiyo.Wadau,

Huo Ndio uajabu anaozungumziaAm afraid this guy is taking us for a ride . Mayai 41 kuku anaatamiaje kwamfano hadi yakatotoka yote! Mh ngoja nishushe net nilale