figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,727
- 62,936
Nmeshangaa kukutana na kuku kwenye Mitandao akipiga kwata shoto kulia sambamba na Maafande. Nmeshindwa kuelewa huyu Kuku kajifunzia wapi? Bora wangemfundisha kukamata vicheche.
Huku kwetu kuku alonnona kama huyu, Idd Pasaka Christmas tushamla tayari kwenye pilau.
Huku kwetu kuku alonnona kama huyu, Idd Pasaka Christmas tushamla tayari kwenye pilau.