Huyu kikongwe wa Kenya Aibuu..!!!!

Huyu kikongwe wa Kenya Aibuu..!!!!

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
2,197
Reaction score
1,471
kls-wmk.phs.jpg kls-wmk.phpn.jpg View attachment 36543View attachment 36544 kls-wmk.php.jpg
Mwenye macho haambiwi tazama. Huyu ni kikongwe huko kenya akijinadi katika pozi la kumvuta aliye mbali
Source
Ni Kikongwe, Lakini !!!!!
 
I doubt kuhusu uraia wake

I dont think she is kenyan
 
Japo reception sio sana ila yaliyomo yamo!!!!Hata kwa kuvaa kininja wakati wa maakuli
 
We umezipataje picha zake? au linakutunza huko mombasa!
 
Kwani hata kama kikongwe (unless wewe ni pedophile unayetafuta vitoto sioni utamuonaje huyu kuwa ni kikongwe, kikongwe ni zaidi ya mtu mzima na mzee, halafu kutumia ki- kunaonyesha dharau kubwa) kikongwe hana haki ya kujisikia vizuri?

Kama anatafuta vikongwe wenzake je? Wewe tatizo lako nini? Kama sio zako usimind.

Jigga anakwambia "It cost you nothing, pay her no mind"

Au ndiyo visasi vya vibuti vyenyewe hivi?
 
well said bro.........

it cost nothing, but we are busy paying too much for nothing!!
 
Back
Top Bottom