Huyu kijana ni mzima kweli??

Huyo ndo ilikuwa tabia yake tok mwanzo ila coz alikuwa na
shida na room ya kupanga akaamua aje kama NGOSHA rijali!!
RUDISHA PESA YAKE KISHA TIMUA!!!

 
Si amepanga tu kwako ? na analipa kodi ? na ni mtu mzima ? Maisha yake binafsi hayakuhusu huo ndio 'uswahili' unaotuharibu jali maisha yako.
Si kila ushauri unafaa mpendwa, fukuza mara moja hapo umepangisha pepo!!! :banplease:
 
kakaaa unajuaa mjiniii kuna mambo mengiii ya kuigaaa...kwa ushaurii mlete kijanaa tu mchunguzee kweliii ni sharobaroooo au bi....la....liii.
 
Anakutega baba mwenye nyumba mjini hapa na matumizi yamepanda, we angalia tu huyo mtoto wako wa kiume anaukaribu naye kama ndiyo poleeeeeee.............:a s 39:
 

Kama anakulipa hela ya pango kila mwisho wa mwezi una shida gani?
 
Kama anakulipa hela ya pango kila mwisho wa mwezi una shida gani?

shida sio kulipa hela ya pango ndugu,problem is maadili aliyonayo huyu kijana(kama kweli!!)hayafanani na maadili ya kijana wa kitanzania.upo mkuu.
 
hapa ROSE kamaliza kila ki2 mkuu, tukiongeza zitakua mbwembwe tu......
:A S-fire1:
 

umuulize kwani mwanao au nduguyo? cha muhimu kodi ikiisha mpe notice ahame kabisa mjengoni kwako, Hilo BWABWA litakuaribia watoto. hata dini zina kataza tabia hizo una dhambi ukilitimua , usijali watu watasema vp linda watoto wako kwa nguvu na akili zote ukiacha mambo yajeendee eti huyo si nduguyo umuache aendekeze libeneke lake utakuja kulia mwishoni wakati wanao wanapakatwa
 

Tanga, Arusha, Kilimanjaro? I wish angetokea Kilimanjaro!
 
Mimi nafikiri kabla hujafikia uamuzi wa kumfukuza jaribu kuongea naye, tumia hekima yako, huwezi jua unaweza ukamsaidia kumtoa huko kubaya! Ikishindikana.... basi waweza kuchukua hatua ya pili!

Mi nafikiri aongee naye tu kumfahamisha kwamba ametambua mienendo yake na hafurahii... lakini kuacha kwa hawa watu inakuwa ni ngumu sana... ni sawa na kuacha dawa za kulevya... unajua kidonda kinapotaka kupona kinawasha... inabidi kikunwe, ndo walivyo... hawaachi!!

Zaidi ya yote, inategemea na umeishi naye vipi tangu aingie kwenye nyumba yako, na je ameshaleta watu wa dizaini isiyoeleweka??

Ushauri mwingine ni kwamba, usizoee kuishi kwenye compund moja na wapanjaji wako... "HESHIMA YAKO INASHUKA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…