bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 742
Nipe namba zako
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu. Kabadilika ghafla na mimi pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni (lakini sipendi ajue hili). Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha.
Naomba msaada wa mawazo. Nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hivi?