Huyu kijana ananichanganya

Huyu kijana ananichanganya

Mambo ya kuviziana sio... BTW unaweza kuta jamaa ashakuachaga kitambo anasubiri ujiongeze, we ndo unawaza leo kumuacha kumbe ashakufanya alternative. Afu nipo katika hiyo situation sijui na kale kamtu kangu kanawaza kunitime.
 
Kwa ufupi ni kwamba umeshindwa kumfanya awe upendavyo.
Urafiki wa kawaida una hulka ya kupoa na kutoweka kabisa maslahi yanapokua madogo.

Mwite mzungumze na umwoneshe hisia zako.
 
Anakuumiza huyo na wewe unataka umuumize kwa kuwa anakutesa. Tafuta mwingine, nyie mnacompete!
 
Kwa ufupi ni kwamba umeshindwa kumfanya awe upendavyo.
Urafiki wa kawaida una hulka ya kupoa na kutoweka kabisa maslahi yanapokua madogo.

Mwite mzungumze na umwoneshe hisia zako.

Asante nimepata kitu hapa
 
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu. Kabadilika ghafla na mimi pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni (lakini sipendi ajue hili). Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha.

Naomba msaada wa mawazo. Nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hivi?
Siku mlipokutana Mara ya kwanza ushauri alikupa nan ? Tukushurije wakati mwanzoni ilikuwa siri yenu tu ?
 
Yaaaaan mamb ya kuachana na mpenzi wako ,naomba utafte reasons za kutosha ni nn has a na kwa nn awe hvo maaaana kula kitu kinachanzo na we kma umempenda bac mfafanulie yy sio mwehu ataelewa tu,.shida ya sasa HV mwanamke haon haibu au hasara kuonwaonwa maumbile yake na wanaume mbalimbal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom