Huyu kijana ananichanganya

Huyu kijana ananichanganya

Ni Kijana flan hvi mtanashat sana. Educated, gentlmen nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana)
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu.

Kabadilika ghafla na mm pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni.(lakini sipendi ajue hili)

Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha
Naomba msaada wa mawazo

nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hv

Pls pls kama huna ushauri pita tu na strees zako
Mkuu huna haja ya kupiga kelele ooh nataka kukuacha,we piga kimya endelea na issue zako ataisoma polepole mwenyewe.. Tena anajijua kabadilika.
 
Asante sana mkuu
 
umukagame, usimuache kama anajua kukupa ile kitu yetu ya kwa Kagame.... si unaifahamu? 😀 😉
 
Ni Kijana flan hvi mtanashat sana. Educated, gentlmen nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana)
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu.

Kabadilika ghafla na mm pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni.(lakini sipendi ajue hili)

Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha
Naomba msaada wa mawazo

nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hv

Pls pls kama huna ushauri pita tu na strees zako
Mbadilishe tu. Ameishaenjoy apishe na mwingine tena aje apate burudani akitosheka anakuja mwingine aiseeee. Waburudishe tu mwili woko na wewe ndo wakutolea uamuzi
 
Kabla hujafikiria kumwacha unayempnda jipime moyo wako bado unampenda? Kama bado moyo unampenda tafuta suluhu na sio kumwacha utaumia zaidi ya yeye
 
Nishafanya hivyo zaidi ya Mara 3 tunaachana kesho yake ananipigia simu na kulia lia tunayamaliza coz bado nampenda this time nataka nimuache kabisaaa
wanawake wengi tuko hvyo ukipenda
anajua kua unampenda anafanya kusudi
 
Ni Kijana flan hvi mtanashat sana. Educated, gentlmen nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana)
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu.

Kabadilika ghafla na mm pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni.(lakini sipendi ajue hili)

Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha
Naomba msaada wa mawazo

nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hv

Pls pls kama huna ushauri pita tu na strees zako
ulisha' sema hautaki ajue kama unampenda! sasa alishafahamu kua haumpendi na ndio maana kabadilika! wewe ungemuonyesha kua unampenda asingebadilila kumbe tatizo ni wewe!
 
Amebadilika hayupo kama mwanzo
Sasa ili asiniache nataka mm nimwache mapema kabisa akija kushtuka me nimemtoa moyoni mda
Hii ndiyo [HASHTAG]#rule[/HASHTAG] no 1# kwa anayeonyesha dalili za kukuacha. Sijui unasubiri nini,muache baada ya muda utasahau.
It hurts to let it go..but it may hurt more to hold on.
 
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu. Kabadilika ghafla na mimi pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni (lakini sipendi ajue hili). Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha.

Naomba msaada wa mawazo. Nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hivi?

Mwambie kuwa umemchoka, simple.
 
Amebadilika hayupo kama mwanzo
Sasa ili asiniache nataka mm nimwache mapema kabisa akija kushtuka me nimemtoa moyoni mda
yaani uliyoyaandika yotee hapa ndo umenifurahisha. uko smart kama unaona hakufai mwache kablaaaa hajakuacha maana nilichogundua akikuacha kabla utajinyonga wewe.

hii njia ni mzuri sana mm sijawai kuachwa nikiona kila aina ya rangi na log off mapemaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom