Huyu kijana ananichanganya

Huyu kijana ananichanganya

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu. Kabadilika ghafla na mimi pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni (lakini sipendi ajue hili). Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha.

Naomba msaada wa mawazo. Nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hivi?
 
Mbona una ji stress bila sababu? muite mwambie naona things are not working well with us nimeona bora kila mtu ashike 50 zake,as simple as that,ila tuu hakikisha huyo ulokua nae umemthibiti manake ukilikorogo huko ujue kurudi nyuma Mwiko,nimbele kwa mbele....
 
Embu chunguza kwanza. Usiwe wa kukurupuka na kuchukua maamuzi bila uchunguzi. Mwenzio huendankuwa kuna kitu anakosa kwako.. ndio maana kabadilika. Au ana mchepuko mahali. Lakin haya yote utayajua palenuyakapo chunguza.. ukaupata ukweli.. then ukachukua hatua.
 
Jitahidi kuboresha penzi lako tena huwenda umezembea mahali, usikubali tu kumpoteza kirahisi kwa vile unaweza kumpata mwingine, the issue is utakuwa na wangapi?

Nimejaribu kama Mara nyingi tunaongea then after 2 days anarudia hali yake
 
Mbona una ji stress bila sababu? muite mwambie naona things are not working well with us nimeona bora kila mtu ashike 50 zake,as simple as that,ila tuu hakikisha huyo ulokua nae umemthibiti manake ukilikorogo huko ujue kurudi nyuma Mwiko,nimbele kwa mbele....

Nishafanya hivyo zaidi ya Mara 3 tunaachana kesho yake ananipigia simu na kulia lia tunayamaliza coz bado nampenda this time nataka nimuache kabisaaa
 
Embu chunguza kwanza. Usiwe wa kukurupuka na kuchukua maamuzi bila uchunguzi. Mwenzio huendankuwa kuna kitu anakosa kwako.. ndio maana kabadilika. Au ana mchepuko mahali. Lakin haya yote utayajua palenuyakapo chunguza.. ukaupata ukweli.. then ukachukua hatua.

Tunaishi mbali mbali so kumchunguza ni vigumu sana kwa Mimi.
 
Nishafanya hivyo zaidi ya Mara 3 tunaachana kesho yake ananipigia simu na kulia lia tunayamaliza coz bado nampenda this time nataka nimuache kabisaaa
Kama moyo wako umeshasema basi,mweleze ukweli kua its Over between us na a move on na life yake,atakushukuru miaka ijayo kwa kumwambia ukweli......
 
Acha kumdhurumu penzi kijana wa watu kama unampenda kweli muonyeshe wazi wazi ajue hilo.... kitu cha msingi kwenye mapenzi ni kupenda na sio kupendwa!
 
Nimejaribu kama Mara nyingi tunaongea then after 2 days anarudia hali yake
Kama umeshafanya kila linalowezekana kurudisha penz lenu na umeona kila mbinu uliotumia imeshindikana basi mueleze ukweli tu ikiwezekana muachane kwa amani, mambo ya kuachana na kurudiana sio.
 
sasa kujipa shida na majaribu ya kumuacha mtu unaye mpenda itasaidia nn?

kama unampenda mtu kwel na ukamuacha tu bila sababu za msingi, eventually uta miss his/her feelings

wew endelea kumpenda tu, kitaeleweka
 
Amebadilika hayupo kama mwanzo
Sasa ili asiniache nataka mm nimwache mapema kabisa akija kushtuka me nimemtoa moyoni mda
Yawezekana muda huu unataka uanze ww kumuacha na kumsahau mwenzio kumbe na yeye ameshakuacha kitambo sana hujui tu,naona kitambo mlikuwa mnaviziana nani aanze kusema mapenzi basi,aisee!!!!!
 
".... We've got this gift of love, but love is like a precious plant. You can't just accept it and leave it in the cupboard or just think it's going to get on by itself. You've got to keep watering it. You've got to really look after it and nurture it...."

John Lennon
 
Sasa umuache ushapata mwingine ? Huyo unaetaka kuawa nae baada ya kuachana na huyu nae anamtu anaempenda so fikiria mara mbili mbili usije kujuta. Huyo ndo wakwako huko unakoenda nikujitaftia mikasa ya ajabu tuu katika ishu nzma ya mahusiano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom