Huyu kigogo lazima anatumia Mkorogo!

Huyu kigogo lazima anatumia Mkorogo!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,933
Reaction score
18,970
Huyu mama kigogo ni lazima anatumia mkorogo, mbona mikono myeusi na uso mweupe, haingii akilini hata kidogo!
Picha kwa niaba ya blogu Michuzi!
 
Hajajua bado madhara ya mkorogo. Hivi huyu ni nani vile?
 
Back
Top Bottom