CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
JE! HUYU KICHAA AMEPONA KWELI?TOA MAONI YAKO:-
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee wanakwenda shule..
Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee, Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi yuleeeeeeee.... naenda kazini!! JE, NI KWELI AMEPONA??