Wacha ushamba, mapenzi hayana formula. Kila couple ina swaga zake, wao wametoka ki-namna hiyo yawezekana wewe kuna unayofanya na wenzio hawayawezi. Lisilowezekana kwako kwa wenzako linawezekanaUpendo wa kipuuzi. Mpaka ufue chupi za mkeo ndio uonyeshe upendo. kama kuna sababu ya msingi sawa nitafua sana! Lakini katika hali ya kawaida, sifanyi. Acha chupi ya mke hata nguo zangu, za watoto sifui kama mke wangu hana sababu ya msingi ya kutofanya hizo kazi.
aya bhana! ndio wanaume wa kiafrica ninyi. mko wengi design yako kweli kweli
Mahaba tu kitu kinachowekwa humo kunakofuliwa sio mchezo angekua anafua nepi labda ningesema limbwata.
Wacha ushamba, mapenzi hayana formula. Kila couple ina swaga zake, wao wametoka ki-namna hiyo yawezekana wewe kuna unayofanya na wenzio hawayawezi. Lisilowezekana kwako kwa wenzako linawezekana
Hiyo mbona poa tu! Mimi napenda kufua ch*pi za wife na yeye anafua zangu. Nikianza kuzishika tu mzuka unanipanda ile mbaya saa zingine nazitumia kama starter kwenye mambo yetu kwani harufu yake inantia ashiki vibaya mno. Kila jioni lazima nimvulie ch*pi alovaa siku hiyo kabla hata hajenda bafuni.
Rosweeter, my point is kuna standard ambazo zinakubalika kwa wengi. Najua tuna tofauti katika kupenda, lakini kuna kiwango ambacho tunakubaliana tulio wengi-hasa waafrika. Bukoba mwanaume hawezi kumenya ndizi katika hali ya kawaida. Lakini kama mke anaumwa au kuna sababu ya msingi, unamenya maana kuna sababu ya msingi.
Pamoja na yote lakini bado nakuambia huo ni mtazamo wako binafsi, no limitation kwenye mapenzi
Inakuwaje ukikuta ch*** yake ina vimchuzi mchuzi...teh..teh...