hata mi nashangaa teh tehSasa huyo si anatimiza wajibu wake. Umlishe umvishe, utamvisha nguo chafu??
Mambo ya ndani hayo,subiri na wwe uoe,na kama hujao usipojituma vizurii masela mtaani wanajituma kufanya vitu kama hivi,Ukizubaa utaishia kumegewa tu!
unaweza kuwa ni upendo tu..!
Upendo wa kipuuzi. Mpaka ufue chupi za mkeo ndio uonyeshe upendo. kama kuna sababu ya msingi sawa nitafua sana! Lakini katika hali ya kawaida, sifanyi. Acha chupi ya mke hata nguo zangu, za watoto sifui kama mke wangu hana sababu ya msingi ya kutofanya hizo kazi.

Kwanza nguo za kinamama huwa sio chafu na hazina sugu kama za kinababa, kwa hiyo wala hazichoshi kufua. Hapo anapompa hiyo "pichu" bila shaka huyo demu ndani hana kitu ndani kwa hiyo wakati mwingine ni kama ishara ya kukutaarifu huku chakula kimeiva njoo ule baba, kama anavyofanya huyu dada hapa: