Huyu kaka yangu vipi!?

Huyu kaka yangu vipi!?

Huyo kaka anakusaidia ili ule fungate la kweli.
Sio unaolewa huku ushagongwa na pipo si chini 137. Hadi unakuwa HUMAN SCRAPER.
 
aliyekuambia vinaisha nani?
Twiga aliitumia shingo yake sana hadi ikarefuka hivyo.
Binadamu tukajidai hatukutumia mikia yetu kujifukuzia nzi hadi ikapotea
"Law of use and misuse"

Kitumie tu ili kiwe na nguvu zaidi

Huyo kaka anakusaidia ili ule fungate la kweli.
Sio unaolewa huku ushagongwa na pipo si chini 137. Hadi unakuwa HUMAN SCRAPER.
 
muheshimu braza wako,mwambie huyo jamaa alete posa,akuoe halafu mtafanya huo mchezo unaoutaka. Nalog off
 
Italiwa na mende wape watu wafanye Mambo. Kama umeshakuwa kaisi cha kutaka uhuru. Muonyeshe kaka yako nywele za huko kunako... hatakufuta tena kwenye nyendo zako.
 
unataka boi friend wa nini..mbona mapema sana, ukiwa mkubwa si ndio utataka punda?? Kaka yako anakupenda hataki yakukute ya ku kukuta.! Soma kwanza, ila ukiona unawashwa sana, nitafute.

jf kisima cha maraha
 
wewe binti unaonekana mbishi sana wewe. Yaani wenzio wanakushauri lakini hata huelewi kabisa. Haya basi nenda ukampe hawara yako hicho kitumbua chako akuambuze maukimwi yake. Tena kama vipi mkingie hata tigo akuchanechane.

unaandika toka
matekenyo? Au
zinduka kakukasirisha?
 
Mie mwenyewe nina akili yangu, kwani sijui ngono salama!
Siku zote mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake kwahiyo swala la ngono salama halitabiriki itategemea uelewa wa uliyenaye!kama nimtu wa kujilipua pole!
 
Mwambie mwenye dada hakosi shemeji
 
Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!

Nadhani ilibidi ushukuru Mungu unaye Kaka anayekupenda na kujali maisha yako ya baadaye, badala ya kulaumu.

Kwa sababu una miaka zaidi ya 18 na hata kuweza kujua iliko JF na internet basi macho yako yameshaona mengi na akili yako imepevuka katika kujua chungu na Tamu...

Tumia akili yako na busara kutomvunja moyo huyo kaka yako albeit kutimiza matakwa yako kupitia njia sahihi... Kuwa na Boy friend siyo issue .... issue ni matokeo ya uhusiano huo... Hasa kama vi-boy friend ni hivi vyenye kupenda kuchovya bila kuwa na msimamo wowote..
 
Mpe kaka yako heshima, anakutakia mema, kuonjwa mapema ni kujiwekea vikwazo kuelekea katika ndoa....... kumbuka sio kwamba unamsogeza karibu huyo BF wako, bali ndio unampa nafasi ya yeye kukutelekeza hapo baadae, kwani alichokitaka si ameshakipata!
 
Eti jamani, ni haki kaka kumlinda mdogo wake wa kike ambaye ni zaidi ya miaka 18 asiwe na Boy Friend?
Mie huyu kaka yangu mwenzenu keshanichosha, natamani hata kumtovuga!
Kua G'friend wangu,nitampa sound broda wako hadi atafurahia relation yetu,serius!
 
Back
Top Bottom