mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,727
Kwa mujibu wa maelezo yake condom hawajatumia... Sema sasa jukwaani anaona Noma kuweka waziNani kakuaminisha kua Condom ni kinga kwa 100%?
Kwa mujibu wa maelezo yake condom hawajatumia... Sema sasa jukwaani anaona Noma kuweka waziNani kakuaminisha kua Condom ni kinga kwa 100%?
Hujielewi.Jamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu ili niende kwa ajili ya kunywa bia na mara nyingi huwa siendagi ni mara moja sana huwa naenda kama ikitokea nina muda baada ya miezi kupita majuzi tukapanga twende out na kweli tulienda kwenye Band tulikunywa sana na kucheza mziki binafsi kwa sasa niko single na yeye pia ila sina uwakika tulivyotoka mziki mida ya kurudi home ikabidi aturudishe home aliwashusha dada yangu pamoja na shemeji yangu mimi na yeye tukaenda nyumbani kwake dah kuna wanaume fundi ila huyu kaka kiboko huyu kaka sitoweza kumsahau kwa kweli (najua kuna watu watahoji kama tulitumia kinga jibu ni ndiyo) natamani awe wangu sijui nifanyaje na namba yake nilikuwa nayo na namba yangu pia anayo sema ya kwake nishaifuta na kuhusu kunipenda alishamwambia shemeji yangu kuwa ananipenda ila yeye kunitamkia bado na kufanya kote kule usiku ajaniambia chochote zaidi ya kumaliza kufanya mapenzi na kuniambia Ahsante........
Elimu ya mwendo kasiDuuh!. Mkuu utamu umekunogea mpaka unaandika kama Chiriku. Hakuna koma, nukta wala nini.
Kweli kichwa cha chini kina nguvu sana.
Wabongo hatuwezi acha unafikiWabongo bwana, bado tupo karne ya zamani sana. Hebu tubadilike, kutiana hakuna uhusiano na upendo kihivyo. Kuna mazingira binadamu anahitaji kutiana tu, sema hizo kanuni tulizojiwekea ndiyo zinakwaza. Hao watu , kaka na dada, walikuwa sahihi kabisa. Kama mmeridhia kudinyana poa tu, cha msingi kuzingatia masuala ya afya tu. Mnadinyana mkimaliza kila mtu na safari yake. Ikitokea mtu kakolea sasa kama huyo dada, si vibaya akiomba nafasi kwa mwenzake.
So, binafsi mnaomshambulia huyo dada eti cheap, malaya n.k.,si ajabu nyinyi ndiyo mna sifa hizi. Mimi ninadhani wale wanaojiuza waziwazi wana nafuu kuliko tuliovaa pete za ndoa.Mbongo akiongea hadharani unaweza kusema ni mpwa wake Yesu au Muhamad, kumbe nyoko wa kufa mtu.
Dada endelea kumtafuta jamaa yako akusugue mpaka uchi unuke baruti. Wasikubabaishe!
Jamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu ili niende kwa ajili ya kunywa bia na mara nyingi huwa siendagi ni mara moja sana huwa naenda kama ikitokea nina muda baada ya miezi kupita majuzi tukapanga twende out na kweli tulienda kwenye Band tulikunywa sana na kucheza mziki binafsi kwa sasa niko single na yeye pia ila sina uwakika tulivyotoka mziki mida ya kurudi home ikabidi aturudishe home aliwashusha dada yangu pamoja na shemeji yangu mimi na yeye tukaenda nyumbani kwake dah kuna wanaume fundi ila huyu kaka kiboko huyu kaka sitoweza kumsahau kwa kweli (najua kuna watu watahoji kama tulitumia kinga jibu ni ndiyo) natamani awe wangu sijui nifanyaje na namba yake nilikuwa nayo na namba yangu pia anayo sema ya kwake nishaifuta na kuhusu kunipenda alishamwambia shemeji yangu kuwa ananipenda ila yeye kunitamkia bado na kufanya kote kule usiku ajaniambia chochote zaidi ya kumaliza kufanya mapenzi na kuniambia Ahsante........
Kwahiyo ushafumuliwa malinda?Jamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu ili niende kwa ajili ya kunywa bia na mara nyingi huwa siendagi ni mara moja sana huwa naenda kama ikitokea nina muda baada ya miezi kupita majuzi tukapanga twende out na kweli tulienda kwenye Band tulikunywa sana na kucheza mziki binafsi kwa sasa niko single na yeye pia ila sina uwakika tulivyotoka mziki mida ya kurudi home ikabidi aturudishe home aliwashusha dada yangu pamoja na shemeji yangu mimi na yeye tukaenda nyumbani kwake dah kuna wanaume fundi ila huyu kaka kiboko huyu kaka sitoweza kumsahau kwa kweli (najua kuna watu watahoji kama tulitumia kinga jibu ni ndiyo) natamani awe wangu sijui nifanyaje na namba yake nilikuwa nayo na namba yangu pia anayo sema ya kwake nishaifuta na kuhusu kunipenda alishamwambia shemeji yangu kuwa ananipenda ila yeye kunitamkia bado na kufanya kote kule usiku ajaniambia chochote zaidi ya kumaliza kufanya mapenzi na kuniambia Ahsante........
Wabongo hatuwezi acha unafiki
Subiri kwanza nitafakari ulichokiandikaUkiwa na fikra nyoko kama zako ndiyoo unaweza kuita unafiki. Maana akili inakuwa kinyokonyoko, lakini ukifikiri kwa mapana inawezekana tu ndugu. Ni suala la kujifunza na kukubali mabadiliko.Huo mtazamo wako ulifanya kazi zama hizo kabla jamii haijaingiliwa, leo hii mambo ni tofauti kabisa.
Lakini, uzuri wa mambo haya hayahitaji nguvu, taratibu tu tutajishepu wenyewe kuendana na wakati. Unaona leo kumeibuka kundi la wadada hawana mpango na kuolewa, haijaja hivihivi, mfumo umewafikisha hapo. Nani aliwaza kuna siku mwanamke wa Kiafrika anaweza kuishi bila ndoa au kuwekwa ndani? Nani alifikiri kijana wa Kiafrika atakuja kuelelewa na mwanamke?
Jua kali sana
aisee mambo ni mengi yaani ujasifia kuliwaJamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu ili niende kwa ajili ya kunywa bia na mara nyingi huwa siendagi ni mara moja sana huwa naenda kama ikitokea nina muda baada ya miezi kupita majuzi tukapanga twende out na kweli tulienda kwenye Band tulikunywa sana na kucheza mziki binafsi kwa sasa niko single na yeye pia ila sina uwakika tulivyotoka mziki mida ya kurudi home ikabidi aturudishe home aliwashusha dada yangu pamoja na shemeji yangu mimi na yeye tukaenda nyumbani kwake dah kuna wanaume fundi ila huyu kaka kiboko huyu kaka sitoweza kumsahau kwa kweli (najua kuna watu watahoji kama tulitumia kinga jibu ni ndiyo) natamani awe wangu sijui nifanyaje na namba yake nilikuwa nayo na namba yangu pia anayo sema ya kwake nishaifuta na kuhusu kunipenda alishamwambia shemeji yangu kuwa ananipenda ila yeye kunitamkia bado na kufanya kote kule usiku ajaniambia chochote zaidi ya kumaliza kufanya mapenzi na kuniambia Ahsante........