Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,930
- 20,982
Hili ka kusema ulitumia kinga na kwamba ulizifuta namba zake bila sababu si kweli, umeogopa tu zodoa zodoa ya Jf.
Hauwezi kutumia condom kisha ukasifia mtu kakuweza, kakuweza kukufanyaje?
Hiyo ilikuwa nikavu kavu mama sisi siyo watoto.
Nikwambie kitu?
Mtaimu hajalewa ili kumhakiki, je yaliyomo yamo na sifa ulizompatia ni zake kweli?
Maana gemu la kilevi huwa si la kimapenzi, ni kamkomoeni na kusaka sifa za ushindi na si mapenzi halisi.
Halafu jamaa akikumbukia na ulivyomsotesha kwa kumringia bila sababu masiku kibao pa1 na gharama alizomwaga tangia aanze kukusororea, lazima atende kama shujaa na ndiyo maana hata "nakupenda" yake hakukupa.