Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

muumize tu...Saiz mwite ashuhudie unavyotomboka mbele yake....Ili uone kama bado atakuganda.Ila utachelewa sana kuolewa coz hata huyo hakuoi
 
Hama hapo ulipo bila kumjulisha then change number ya cm.
 
Hivi ,mtu analetaje mahari kabla hamjelewana? si kuna mshenga kwann usimwambie hzo taarifa kua hutak kuolewa tena mpka umwambie mtu kua unaenda kutomboka (sjui maana ya kutomboka)
Hahaaaa. Wasichana hawa kaka yaani ni shida aisee.
 
Baada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
bado ni mtoto mdogo kwnye mapenzi uyo sishangai bado ajakua ipo siku atarudi analia kwa uyo mwanaume mm coni ubaya sasa mtu ujamfuma anakukucheat ujamuona ana chepuka anania nzuri ya kutaka kukuoa afu unanza mfanyia ushenzi eti kisa anapigiwa cm na wanawake atakuja juta uyo kiukweli ajajifunza aijui dunia uyo maisha ni safari ndefu sana...
 
Kwani mawasiliano yake ya simu yana ubaya gani?
 
Kataaa kuvalishwa Pete,mwambie usijiangaishe mm ni mtu wa watu tayari,we ilikua ni party time,waambie na wazazi wako wakimpokea juu yao we hutahusika kwa lolote
 
Run away from him like your chaced by lion while you still have the chance my sister.
 
Kwani mawasiliano yake ya simu yana ubaya gani?
uyo bado ni limbukeni wa mapenzi afu ukiangalia mwanamke usishindane na mwanaume hata ckumoja mapenzi ayaitaji ushindani afu pia yy awasilini na wanaume kuwasiliana na mwanamke co kumanisha kwamba uyo mpenzi wako mtu as long mtu anakupenda anakueshimu mpende endelea nae afu izi naic story za mitandaoni tuu akuna lolote apa tunapoteza mda kuchangia tuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…