Huyu kaka ameanza kuniboa nifanyeje

Huyu kaka ameanza kuniboa nifanyeje

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
3,144
Reaction score
5,074
Tukiwa tunajiandaa na maandamano siku ya kesho nimeona niyatoe ya moyoni maana sina pa kuyatolea

Nimekuwa na mahusiano ni kijana mmoja wa kawaida tu hawa wadada tunawaita sura personal maana nyie ma handsome boy siwataki mmenipiga sana matukio

Sasa kilichonileta hapa sio huyo kijana bali ni mtu aliefanya Mimi nikafahamiana na huyu Kijana wangu
Kiufupi yeye ndio alietuunganisha maana tulikuwa hatujuani

Ipo hivi huyu jamaa (Alietuunganisha)amekuwa akinitongoza takribani miaka 4 sijawahi kumkubali na hata alipotaka kunioa nilikataa na nashukuru Mungu ameshao mwanamke mwingine

Kisa cha kumkataa ni kuwa hatuendi kimuonekano ni wale Watu ma giant halafu mimi mdogomdogo hata nikitembea nae anaonekana kama baba angu na kingine ana umri mkubwa kwangu, na sikumpenda,,kwaiyo nikaona sina sababu ya kuwa nae nikamkwepa.. HAJAWAHI KUNIKULA HATA UKARIBU WOWOTE WA KIMWILI

Basi maisha yamesonga tunawasiliana kuna siku aliniuliza kama nimepata mahusiano nikamjibu sina ilikuwa ni utani tu nikashanga kampa huyo kijana ambae nipo nae sasa namba yangu.. akasema tu Kijana mzuri huyo nipo naë kazini ametulia ishi nae

Yule kaka tuliwasiliana tukakubaliana wenyewe na Tukaanza mahusiano hana shida na mimi nimeona ana faa tu maana ni mtu ambae age mate

Sasa kinachonikera huyo alietuunganisha ni anatufuatilia sana mara a muulizee Kijana wangu kuhusu mimi yaani kiufupi anataka kujua kila kinachoendelea mimi hili jambo silipendi na nimeshamwambia Kijana wangu mimi sitaki mambo yetu aendelee kuyajua maana yeye kazi yake imeisha

Sasa kinachoniwazisha ni huyu kijana wangu kwa huyo kaka (Alietuunganisha)ni boss wake na mimi nilimwambiaga namchukuliaga kama bro kwaiyo always akiongea habari zake anatumia neno bro wako anakusalimia, sijawahi kumwambia kama amewahi kunitongoza

Kuna kitu sasa kakifanya kinaniwazisha
Nilikuwa kwa Kijana sasa nikatakiwa kuwahi kutoka na Kijana hakuweza kupata ruhusa kunipeleka ikabidi huyo bro wa mchongo anipeleke alikuja na mwenzake ambae nae anamwita boss
Sasa akaanza kuwa ananiita mchumba sijui za siku nyingi mara mchumba sijui hivi sikutaka kuongea nikawa navunga nisimuaibishe kwa huyo mfanyakazi wake.. sasa nina wasiwasi usije kuwa huyo mfanyakazi akachukulia seriously akamwambia Kijana wangu 😟 Mimi nataka nitulie nae jmn

Nifanyaje huyu bro wa mchongo aache kiherehere ananikwaza
 
Mwambie mpenzi wako ukweli kuwa huyo bro anakutongoza, halafu wote muache mazoea naye.

200.gif
 
Kwani, ulipomtafuta na kumapata ulitushirikisha au ni kukosa ithibati ya kuamua uonavyo kam ilivyokuwa wakati mnakubaliana? Je, unajuaje kama nawe humbore?
 
sasa nina wasiwasi usije kuwa huyo mfanyakazi akachukulia seriously akamwambia Kijana wangu 😟 Mimi nataka nitulie nae jmn
Hajakwita mchumba kwa bahati mbaya huyo kijana wako alipangwa na boss wake akule halafu alale mbele. Sasa inaonekana kijana yeye amekupenda kikweli ndio boss amekuja na huyo shahidi wake ampe kijana habari kama wewe ni mchumba wa boss(manake umeitwa mchumba na hujakataa).

Hii iliwahi kutokea wakati nipo shule rafiki yangu alikataliwa na msichana mmoja. Sasa akanipa mimi yule dada alinikubali huyu rafiki yangu nae alikuwa anataka kujua kama nishamkula huyu Mwanamke kila tukionana. Yaani yeye tukionana tu anataka kujua nini kina endelea kati yangu na huyu alokuwa mwenza wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom