Huyu Jumapili Kayuni vipi na Kaseja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Jumapili Kayuni vipi na Kaseja!

Discussion in 'Sports' started by davidmimbi, Nov 18, 2010.

 1. d

  davidmimbi Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiingii akilini mtu kama kayuni nakuwa na bifu na Kaseja,kwanza viwanja anavyotanulia kaseja ni tofauti na Kaaseja,leo iweje huyu babu agombane na kijana wake mpaka amwekee visa kwenye maisha! Kayuni weka wazi!
   
Loading...