Jumatatu nitakupa deal ukiwa huko uliko!
Huyo kijana anaitwa Sambala Ole Comrade ni mwanakijiji na diwani wa Mondo wilaya ya Chemba anaishi Kawe ni Team EL muda mrefu na ameshiriki kazi baadhi za kumtangaza EL kwenye mitandao ya kijamii lakini Pia Sambala aliwahi kama bado anaendelea na kuwasiliana na viongozi wa kundi la waasi wa M23

Ni shemeji wa Lowasa sio..maana first lady si Mrangi..
Super Handsome Uwege Na Adabu Basi Muda Mwingine. Jirani Yangu Kivipi Wakati Nina Mwaka Wa Tatu Sasa Nipo Kwetu Kigali Rwanda?
Vipi jirani yako atagombea Ubunge mwaka huu au kaamua ampiganie EL tu asubirie nafasi za kuteuliwa??
We huujui huyo ni waziri mkuu mstaafu anapewa ulinzi na serkali
huyo sio comred sambala kweli?