huyu jamaa ni noma

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
 
We acha kunisema aiseee
kwani hukuona moja ina vitambulisho na nyingine pesa???
Kama vipi njoo niko BabyLon uhakikishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom