Ndio zao hizo, hahahaaaa. Kwenye game ya soccer ya ukweli huwezi kuachwa ufanye huo ushololo, ni vitu vichache sana ana weza kuviingiza mchezo na mind you, kwenye mpira unakua una move saa zote wakati hapo jamaa kasimama sehemu moja tu na zaidi ya yote anaweza akawa anafanya yote hayo lakini fitness yake ni zero, hana pumzi kabisa!