Huyu Jamaa ni Favourite Son...

Status
Not open for further replies.

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,243
2,000
Kwa mzee Malecela...
Hivi na mama yake ni Anna Kilango?

- Kaka kuandika hapa kuna wanaonilipa, kuandika kwenye blogu yangu ninalipwa tena big time, kuandika kwenye FB ninavuta visitors kwenye blog, ndio mana unaniona kila siku ninaruka kwa ndege mara huku mara kule yote yale ni malipo kwa sababu ya kuwa Super Star na ndio maana nikienda mahali wananchi wengi wanalilia picha na mimi na hasa mabebez, kwako ni ushamba maana ndivyo akili yako ilipoanzia na kuishia, pole sana ila mimi sio size yako wapo unaofanana nao sio mimi ngoma ni kubwa kwako!!

Le Mutuz System

Hivi huyu jamaa asingezaliwa kwenye familia ya Kifisadi angekuwa na hali gani?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom