Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,316
- 12,867
Huyu jamaa ninamkubali sana ila tatizo sikuhizi ameacha kutest product za Xiaomi na ukiangalia Xiaomi ana simu nyingi sana impressive katika bei tofauti tofauti.Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
View attachment 2866718
Pitia kwa frankTech jamaa anazivyuu sanaHuyu jamaa ninamkubali sana ila tatizo sikuhizi ameacha kutest product za Xiaomi na ukiangalia Xiaomi ana simu nyingi sana impressive katika bei tofauti tofauti...
Frankie Tech nampataPitia kwa frankTech jamaa anazivyuu sana
Kuna yule mwamba mwingine yuko UK, anaitwa Mrwhosetheboss. Anajua sana aisee, yuko deep kama MKBHD. Kwangu kabla ya kununua gadget kama simu lazma nipite nione review zao kwanza.Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
View attachment 2866718
Hahahahahhaaaaaa bichwa lako. Nimecheka mpaka mbavu zinaniuma mkuuNimepotea njia wakuu..samahani
Jamaa kaanza kitambo akiwa mdogo kweli anarekodi kwa webcam.Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
View attachment 2866718
Na si simu tu. Niliona video yake anaelezea Tesla solar roof. Elimu ya kutosha. Kuna ya Cybertruck na nyingine ya formula 1. Anajua.Jamaa kaanza kitambo akiwa mdogo kweli anarekodi kwa webcam.
Sasa hizi ana bonge la studio, wafanyakazi na makamera ya hatari kabisana marobotic arms.
Wana mrefer kwa kuset standard za quality za Youtube videos maana jamaa video zakw zina quality ya picha si kidogo
Yah hata hiyo niliona nikatamani ningekuwa na ela nikazifunga. Sema ni expensive sana sana kwa mtu mwenye matumizi ya kawaida inachukua muda kurudisha hiyo pesa.Na si simu tu. Niliona video yake anaelezea Tesla solar roof. Elimu ya kutosha. Kuna ya Cybertruck na nyingine ya formula 1. Anajua.
Dah jamaa tokea ana record kwenye ghetto lake home hadi sasa ana wahoji wakina Elon na Bill Gate.Sema tusemeni ukweli MKBHD ile chapa ni hatari, cheki kwenye ile channel yake nyingine ya Auto Focus na ile review ya Tesla Cybertruck, kwa review za magari za yule mwamba Carwow na Supercar Blondie wakasome.
Sio lazima ufanye kama alivyofanya, una anza pole pole mkuu.Yah hata hiyo niliona nikatamani ningekuwa na ela nikazifunga. Sema ni expensive sana sana kwa mtu mwenye matumizi ya kawaida inachukua muda kurudisha hiyo pesa.
Jamaa kwanza anatumia bidhaa kabla ya kuzireview.
Shida wengi wetu tunataka tuanze juu, ila jamaa ni proof ya, Usidharau mwanzo mdogo.Dah jamaa tokea ana record kwenye ghetto lake home hadi sasa ana wahoji wakina Elon na Bill Gate.
Dah
Hiyo ni zaidi ya milion 200 za kubongo ukiongeza na kodi hapo na usafirishaji unaweza kukuta inagonga 230 au zaidi. Raha ya solar hizo mimi nazipendea kuwa inasukuma kila kitu sasa ukisema uweke kidogo hutaona ubora wake.Sio lazima ufanye kama alivyofanya, una anza pole pole mkuu.
Budget yake kama sijakosea ilikua Dola 90,000 hivi.
Changamoto kubwa hapa bongo ni moja Solar Original kupata kimbembe na Betri nzuri high quality ni noma pia, so ukifunga kina Sundar ni Upuuzi tu.Hiyo ni zaidi ya milion 200 za kubongo ukiongeza na kodi hapo na usafirishaji unaweza kukuta inagonga 230 au zaidi. Raha ya solar hizo mimi nazipendea kuwa inasukuma kila kitu sasa ukisema uweke kidogo hutaona ubora wake.
Pitia kwa unboxtherapy na kwa mlimbwende gadgetbyte ujipatie uhondo huyo mkbh na whostheboss story zao zinaleta usingizi maana wanarudia rudia hoja mojaFrankie Tech nampata
Nimeangalia video moja tu ambayo alikuwa analinganisha Xiaomi 14 Pro (titanium) na iPhone 15 Pro Max
Ila naona ameifanya rough sana. Haiko detailed kama review za Mr Whosetheboss au MKBHD
Unbox Therapy ni kama anafanyaga unboxing tu, ila hua hafanyi intensive review ya hiki kikoje na kile kikoje.Pitia kwa unboxtherapy na kwa mlimbwende gadgetbyte ujipatie uhondo huyo mkbh na whostheboss story zao zinaleta usingizi maana wanarudia rudia hoja moja
Bongo labda uagize panels na betri za kawaida kidogo kidogo toka sehemu zinaeleweka kama Ujerumani.Changamoto kubwa hapa bongo ni moja Solar Original kupata kimbembe na Betri nzuri high quality ni noma pia, so ukifunga kina Sundar ni Upuuzi tu.