Huyu jamaa hapa alituibia...!!!

Huyu jamaa hapa alituibia...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
1391797699220.jpg
 
Duu... Sijui nimetafsiri ndivyo sivyo. Kwa lugha ya ishara za kibubu hapo amemaanisha nini?
 
Jamaa atakuwa sio mzima kwenye halmashauri ya kichwa chake.
 
haha, mpaka leo watu wanashangaa aliweza vp ku infiltrate mpaka kujiingizapale

Mara nyingi ukijiamini huwa unapita kwenye hii misafara ya wakubwa kwani walinzi huamini kuwa usingefika pale isipokuwa ni mtu fulani.
 
hivi kuibiwa ni lazima ulipie kitu, mkuu whixh level of literacy are you in?

niko juu yako kwa level kama tano hivi, kiumri nk.........

you cant lose what you dont have; mwizi haibii asienacho, ukiibiwa ujue unacho, haya sema ulilipia nini kwa huyo psychopath?

acha upumbavu na mawazo mbilikimo

pia si vibaya kubehave kama vile umekuja jana............... this is a too old issue
 
sawa kaka hongera!
 
Alichofanya ni kuuza nyago,ila ingekuwa bongo angekiona cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom