Nilikua siamini ushirikina lakini sasa naanza kushtuka sielewi huyu jamaa ni mchawi ama, katuzalisha wanawake 4 wa 1 kashaolewa, sasa sisi tuliobaki 2 tunamawasiliano mazuri tu huwa tunapigiana simu cha ajabu huyu jamaa akienda kwa yule anamdanganya simtaki fulani nimeachana nae yule anampa mambo, akija kwangu anampondea yule na blah blah kibao najikuta nimekubali, akiondoka najilaumu na kujutia kwanini nimeshiriki nae tendo.
Nitaumia hata wiki na kupanga kutotaka tena ukaribu nae na kutengeneza mazingira ya kumchukia ajab akija nasahau najikuta nashiriki nae tena na kwa mwenzangu hivyo hivyo da! Mi mpaka nashindwa kuelewa ni akil yangu au ninini ajabu ukikuta msg ya mapenzi kwenye simu yake ukimuuliza anakujibu isome alafu uniambia wewe unaamua nini ulichokitafuta umekipata na bado unajikuta umeshiriki nae tena bila kinga.
Jamani mi naogopa sijui nimkwepe vipi na nina mtoto wake na bado mdogo jamaa anatuchezea akili tu, kumuacha natamani na ninapanga mipango mikubwa ajabu akipiga tu natetemeka urafikiri naongea na baba mkwe tena kwa adabu zoote nishaurini jamani ni ndumba au nini.Jamaa niwakawaida sana sex yake niya sekunde tu kashusha,anadharau habembelezi mwanamke du! Yaani sijui tu jamani.
Ushauri wakuu