Huyu jamaa anapendwa na kila demu

Huyu jamaa anapendwa na kila demu

Huyo jamaa ni noma ila hata kwe2 waapooo...mie bro angu .mkuu ni bingwa wa kupendwa na madem wa rafiki zake na mashoga wa michuchu yake....mchuchu wangu alipomuona 2 akamcfia kaka mzuri baby.....wala cendage na mchuchu akiwepo,na cmtambulishi mchuchu wangu abadan...yani kuna cku 2li'ngoa michuchu kufika home wote wamen'gan'gania rum aliopo yeye.....am glad ameoa now ila mkewe nahis atakufa kwa wivu
 
Me mwenyewe sijisifii ila najishangaa wanavyo nidatia
 
Ukiona anapendwa na madem jua Ana nyota ya chips....tena chips mayai/chips kuku.
 
A%20S%2013.gif
 
Yap kuna dogo mmoja naye pale kilombero mkamba anapapatikiwa na mademu kibao halafu ni mtu wa kawaida sana sana.Nahisi damu yake tu...

Ushauri:utabaki unaumia tu kwa huyo demu unayempenda halafu anamshobokea mshikaji fanya maamuzi mfuate mwambie na mfuatilie tena mfuatilie , mfuatilie tena na tena we mfuatilie tu na zaidi sana endelea kumfuatilia tu yaaani mfuatilie tu we mfuatilie tu mpaka afuatiliwe mara nyingi na wewe mfuatilie tu hata kama mfuatilie tu unasikia dogo we mfuatilie tu usiogope mfuatilie tu sijui unanielewa nakwambia we mfuatilie saaana kusema ukweli jenga ujasiri wa kumfuatilia tu...
mwisho atatikiti tu...


kila la kheri katika ufuatiliaji.

bampami
 
Back
Top Bottom