Huyu jamaa amenivunja moyo wa kujitolea

Huyu jamaa amenivunja moyo wa kujitolea

Kuna dada WA kiarabu au mpemba sijui Yule ..... Yuko pale Ferry yeye anaombaga buku au buku mbili Kwa watu flani flani hivi yaani ukiwa smart basi unaye ukipita karibu naye ......na anaita kabisa wewe Kaka wewe Kaka samahani.......utasikia naomba buku..........yaani kama chuma ulete vile.........kuna siku alijichanganya kuniomba nikamuuliza umeifanyia kazi gani??
 
Kuna mmoja maeneo flan yuko na baiskeli akanisimamisha. Akajieleza katoka point a anaenda point b ana njaa anaomba hela kidogo akanywe chai ndo aendelee na safari yake. Uzuri mgahawa hauko mbali na pale so nkampeleka akanywa chai na kusepa. Siku mbili tatu mbele nakutana nae na ana the same story. Nkamkaushia.
 
Dar slum hii tabia ya kuombaomba imekua kero,
Migahawani watu wanomba tu,kwenye madaladala wanaomba,mitaani wanaomba mpaka kero..
Na ukiangalia sio vilema.
Huku mikoani haya mambo hamna,
Pia enzi za JPM haya mambo hayakuwepo.
 
MWEZI uliopita midaa ya saa mbili usiku wakati narudi gheto niko mdogo mdogo na stress zangu..wakati nakaribia kufika gheto ghafla jamaa mmoja aliekuwa amesimama pembeni njiani akaniita "kaka samahani"..ikabidi nisimame.. nimsikilize jamaa ana shida gani..

baaada ya salamu jamaa akaanza kunieleza yanayomsibu ni kuwa ana hali mbaya sana kiuchumi..ana mke na mtoto mmoja na hana kitu chochote chakula ndani ..na tangu asubuhi ameondoka mke na mtoto wake hawajala kitu mpaka muda huu wanamsubili yeye arudi kutoka kazini ili wale hata chakula cha usiku na bahati mbaya huko kazini alikokuwa anategemea hajapata kitu chochote..hivo anaomba kama katika matumizi yangu nimebakiza hata chenji sh.1000/= anaomba nimpe akanunue hata dagaa wale hata usiku huu tuu..kesho ataona afanyaje..

Daaah niliingiwa na huruma hasa ukizingatia jamaa ni mtu mzima kunizidi..na kwa upande wangu pia nimepitia maisha magumu sana sana...hivo nilikuwa naelewa fika jamaa anazungumzia nini ..

To shorten the story..niilimpa jamaa kiasi kidogo tu cha pesa ambacho niliamini kwa familia yake kingemtosha usiku huo na asubuhi yake..basi siku hiyo ikapita..

Kesho yake..mida ya saa moja kasoro jioni..nimetulia zangu gheto nashangaa mtu anagonga mlango..kufungua naomuona jamaa wa jana (niliimaki sauiti) ..ila ikabidi nijifanye kama simkumbuki..basi tukakaa njee

Baada ya salamu ..jamaa akaniuliza kama namkumbuka..nikajibu hapana sikukumbuki..basi jamaa akajitambulisha upya..

Wazo lilonijia kichwani ni kuwa jamaa kaja kutoa shukrani kwa msaada wa jana..

Na ni kweli baada ya salamu jamaa akanishukuru sana kwa msaada wa jana..ila akasema leo ana shida nyingine ila leo hajaja kuomba kama jana badala yake anaomba nimkopee kiasi flani cha pesa ana shida sana sana..na mimi ndio msaada wake wa pekee..hana msaada mwingine ..daah nilishangaa

Kiukweli pesa aliyokuwa anataka ni ndogo ila ni zaidi ya niliyompa jana..

Iakini pia siku hiyo alarm kichwani kwangu iligonga kuwa leo ni kama napigwa maana jamaa alikuwa na kaharufu flani ka pombe..japo maelezo yake yalikuwa straight sana..

Basi badaa ya kulia sana nimkopee..nikaamua sio mbaya..nimepoteza vingapi....nikampa nusu ya pesa aliyokuwa anahitaji..akashukuru sana..akaondoka..

Aisee sijakaa hata nusu saa nashangaa mtu huyu hapa tena anagonga mlango..kutoka ni jamaa

Nikamuuliza nini tena ndugu yangu..akasema anaomba saana sana yupo chini ya miguu yangu..jamaa alietakiwa kumsaidia kwa kiasi kile cha pesa amekataa kata kata kumsaidia anadai anataka hela yote ndipo atamtatulia shida yake..daah nilichoka..nikamwambia ndugu yangu mimi sina hela hata hiyo nusu niliuokuazima nimechukua ya watu..

Jamaa akalia sana sana..daah nikaona sasa hii ni kelo na kuondoa kelo..kishingo upande sana nikampa nusu tena kwaiyo ikawa pesa imekamilika aliyohitajii..jamaa akashukuru sana akaondoka ila nikamsisitiza sana kuwa hiyo pesa niliyomuazima ni ya watu hivo kesho ajitahidi kurejesha..jamaa akanihakikishia kuwa kesho pesa inarudi..basi siku hiyo ikapita..

Kesho yake mida ile ile ya saa moja kasoro jioni jamaa huyu hapa..tena alinikuta nimekaa nje namsubili kwa hamu maana nilikuwa nawaza ikifika saa mbili usiku huyu jamaa hajaonekana nihesabu maumivu ile hela nimepigwaa...maana hadi muda huo nilikuwa sijui anakaa wapi japo alisema ni mtaa mmoja

Kwaiyo nilivomuona jamaa..nikafurahi sana nikajua pesa yangu hii hapa...aisee daah

Basi kama kawaida baada ya salamu jamaa akanishukuru sana kwa msaada wa jana na kumuamini

Ghafla badala ya kunipa pesa yangu..nikashangaa jamaa anaanza kueleza tena shida zake..mara anaomba tena nimkopee hela nyinginee..

Nilishtuka ikabidi nimuangalie jamaa vizuri usoni..nikawaza au jamaa ni chizi...lakini mbona mavazi yake ni ya kawaida tu..nikawaza au amelewa ..lakini mbona hana dalili japo kweli kulikuwa na kaharufu ka pombe..kwa mbali..

Nikamwambia kwa ukali kuwa leo pesa sina kwanza nilikupa pesa ya watu..na nadaiwa..jamaa akaendelea kulia lia..pale..hapo mimi tayari nimechafuka roho..

Ikabidi nimbane kuwa ile pesa ya jana ana uhakika ni kweli alikuwa na shidaa..akagomaa gomaa baada ya kumbana sana akaniambia kweli ile pesa ya jana alikuwa hana shida ilikuwa ni fix tu ila leo ndio anashida kweli..daah nilichoka..nikawaza inawezekana hata ile ya juzi ilikuwa ni fix pia ila nikakaushaa..basi jamaa akaondokaa..ila amenifanya nimekuwa muoga sana..nikimuona muhitaji napita mbali kabisaa saivi..

Ila nimejifunza kitu kama haujajiandaa kisaikolojia kupokea negative return ya msaada wako usimsaidie mtu..kwa sasa mambo ni mengi.

ROBERT HERIEL kuna mada moja alilizungumzia hili..alikuwa sahihi

Nawasilisha..
Mkuu Bora umeshtuka mapema. Tapeli siku zote huandaa mazingira ya kuaminiwa kwanza. Hapo huyo jamaa alikuwa akikuomba pesa anaitunza then anakurudishia siku inayofuata Ili uone jamaa ni mwaminifu huwa hacheleweshi. Na anaporudisha anakuomba tena kiasi Cha juu zaidi ya kile Cha awali. Sasa kuna siku ungempa pesa kubwa ukitegemea itarudi kama kawaida na hapo ndio ingekuwa mwisho wa kumuona. Watu huiba hivyo siku hizi so take care mkuu
 
nimejifunza mkuu..nilikuwa nashangaa kwanini mtu akiomba msaa hapa JF labda tusema anahitaji school fees ..baadhi ya wanaJF wanagoma kumpa keshi mkononi wanataka wamlipe wao wenyewe...nilikuwa naona kama ni kumnyanya mtu kumbe ni kwa sababu ya shits kama hizi..got a lesson aisee
 
Hawo watu wanajuwa kuongea kiswahili kizuri mpaka unafunguwa moyo.
 
Omba Mungu sana usije akakuinia. Inawezekana kuna ramani anachora. Mimi sitoi lift, sitoi hela kwa mtu nisiye mjua...kama ni shida nimepitia nyingi sana ila aijawahi kuomba kwa mtu alnisiye mjua. Nilisaidiwa na ndugu na jamaa wanaonizunguka, pale ambapo nilikwama kabisa.

Kila mtu ana ndugu na kila mtu ana jamaa zake. Haiwezekani mtu geneuine ashindwe kusaidiwa na watu wake wa karibu hadi aombe mtu barabarani. Ukiona mtu wa aina hiyo ujue siyo genuiene
MWEZI uliopita midaa ya saa mbili usiku wakati narudi gheto niko mdogo mdogo na stress zangu, wakati nakaribia kufika gheto ghafla jamaa mmoja aliekuwa amesimama pembeni njiani akaniita "kaka samahani" ikabidi nisimame. Nimsikilize jamaa ana shida gani..

Baada ya salamu jamaa akaanza kunieleza yanayomsibu ni kuwa ana hali mbaya sana kiuchumi ana mke na mtoto mmoja na hana kitu chochote chakula ndani na tangu asubuhi ameondoka mke na mtoto wake hawajala kitu mpaka muda huu wanamsubili yeye arudi kutoka kazini ili wale hata chakula cha usiku na bahati mbaya huko kazini alikokuwa anategemea hajapata kitu chochote hivo anaomba kama katika matumizi yangu nimebakiza hata chenji Tsh. 1000/= anaomba nimpe akanunue hata dagaa wale hata usiku huu tuu. Kesho ataona afanyaje..

Daaah niliingiwa na huruma hasa ukizingatia jamaa ni mtu mzima kunizidi na kwa upande wangu pia nimepitia maisha magumu sana sana hivo nilikuwa naelewa fika jamaa anazungumzia nini ..

To shorten the story..niilimpa jamaa kiasi kidogo tu cha pesa ambacho niliamini kwa familia yake kingemtosha usiku huo na asubuhi yake basi siku hiyo ikapita..

Kesho yake mida ya saa moja kasoro jioni..nimetulia zangu gheto nashangaa mtu anagonga mlango..kufungua naomuona jamaa wa jana (niliimaki sauiti) ..ila ikabidi nijifanye kama simkumbuki..basi tukakaa njee

Baada ya salamu ..jamaa akaniuliza kama namkumbuka..nikajibu hapana sikukumbuki..basi jamaa akajitambulisha upya..

Wazo lilonijia kichwani ni kuwa jamaa kaja kutoa shukrani kwa msaada wa jana..

Na ni kweli baada ya salamu jamaa akanishukuru sana kwa msaada wa jana..ila akasema leo ana shida nyingine ila leo hajaja kuomba kama jana badala yake anaomba nimkopee kiasi fulani cha pesa ana shida sana sana na mimi ndio msaada wake wa pekee hana msaada mwingine ..daah nilishangaa

Kiukweli pesa aliyokuwa anataka ni ndogo ila ni zaidi ya niliyompa jana..

Iakini pia siku hiyo alarm kichwani kwangu iligonga kuwa leo ni kama napigwa maana jamaa alikuwa na kaharufu fulani ka pombe japo maelezo yake yalikuwa straight sana..

Basi badaa ya kulia sana nimkopee..nikaamua sio mbaya..nimepoteza vingapi....nikampa nusu ya pesa aliyokuwa anahitaji..akashukuru sana..akaondoka..

Aisee sijakaa hata nusu saa nashangaa mtu huyu hapa tena anagonga mlango..kutoka ni jamaa

Nikamuuliza nini tena ndugu yangu..akasema anaomba saana sana yupo chini ya miguu yangu..jamaa alietakiwa kumsaidia kwa kiasi kile cha pesa amekataa kata kata kumsaidia anadai anataka hela yote ndipo atamtatulia shida yake..daah nilichoka..nikamwambia ndugu yangu mimi sina hela hata hiyo nusu niliuokuazima nimechukua ya watu..

Jamaa akalia sana sana..daah nikaona sasa hii ni kelo na kuondoa kelo..kishingo upande sana nikampa nusu tena kwaiyo ikawa pesa imekamilika aliyohitajii..jamaa akashukuru sana akaondoka ila nikamsisitiza sana kuwa hiyo pesa niliyomuazima ni ya watu hivo kesho ajitahidi kurejesha..jamaa akanihakikishia kuwa kesho pesa inarudi..basi siku hiyo ikapita..

Kesho yake mida ile ile ya saa moja kasoro jioni jamaa huyu hapa..tena alinikuta nimekaa nje namsubili kwa hamu maana nilikuwa nawaza ikifika saa mbili usiku huyu jamaa hajaonekana nihesabu maumivu ile hela nimepigwaa...maana hadi muda huo nilikuwa sijui anakaa wapi japo alisema ni mtaa mmoja

Kwaiyo nilivomuona jamaa..nikafurahi sana nikajua pesa yangu hii hapa...aisee daah

Basi kama kawaida baada ya salamu jamaa akanishukuru sana kwa msaada wa jana na kumuamini

Ghafla badala ya kunipa pesa yangu..nikashangaa jamaa anaanza kueleza tena shida zake..mara anaomba tena nimkopee hela nyinginee..

Nilishtuka ikabidi nimuangalie jamaa vizuri usoni..nikawaza au jamaa ni chizi...lakini mbona mavazi yake ni ya kawaida tu..nikawaza au amelewa ..lakini mbona hana dalili japo kweli kulikuwa na kaharufu ka pombe..kwa mbali..

Nikamwambia kwa ukali kuwa leo pesa sina kwanza nilikupa pesa ya watu..na nadaiwa..jamaa akaendelea kulia lia..pale..hapo mimi tayari nimechafuka roho..

Ikabidi nimbane kuwa ile pesa ya jana ana uhakika ni kweli alikuwa na shidaa..akagomaa gomaa baada ya kumbana sana akaniambia kweli ile pesa ya jana alikuwa hana shida ilikuwa ni fix tu ila leo ndio anashida kweli..daah nilichoka..nikawaza inawezekana hata ile ya juzi ilikuwa ni fix pia ila nikakaushaa..basi jamaa akaondokaa..ila amenifanya nimekuwa muoga sana..nikimuona muhitaji napita mbali kabisaa saivi..

Ila nimejifunza kitu kama haujajiandaa kisaikolojia kupokea negative return ya msaada wako usimsaidie mtu..kwa sasa mambo ni mengi.

ROBERT HERIEL kuna mada moja alilizungumzia hili..alikuwa sahihi

Nawasilisha..
Ushauri wangu wa dhati kutoka moyoni
Tuendelee kuwasaidia watu wenye uhitaji; muhimu ni kujaribu kujiridhisha usahihi wa mtu.
Mungu ametuumba hapa Duniani ili tusaidiane hasa kuwainua wale wenye hali ya chini au hali ngumu. Kuwepo kwa hao wachache matapeli kusitutoe kwenye njia aliyo ibariki Mungu!
Kubarikiwa kwako sio kwamba una akili kuliko wengine, ni neema tu ya Mungu, onyesha utukufu wa Mungu kwa kuwainua wengine - HAKUNA ALIYESAIDIA WENYE UHITAJI AKAFIRISIKA

Naomba uchukue huu ushauri kwani utakuja kunikumbuka baadae!
 
Kuna dada mmoja yupo pale mbeya (kabwe) nae ana kamtijdo kama hako.

Kabla ya kuniomba mimi jana yake nilimuona anaongea na mwanaume mmoja ni kama alikua anaomba kitu ila nikapotezea, nikamuona kasimamisha watu kama wawili hivi.

Kesho yake akanisimamish mm anaomba msaada wa pesa, nikamwambia sina. Ile narudi sijui keshasimamisha wengi so mimi kanisahau, akanisimamisha tena nikampotezea.
 
Aisee sijui shida ni nini..si Bora kama mtu ni mzima kabisa uombe kazi...sasa kuomba 1000/= au 500/= ni kujitengenezea circle ya kuomba kila siku..mwisho watu wanachoka kama hivo...
 
kuna mzee alikuwa ananihusia kwa kusema kijana MJINI HATUKUJA KUSAIDIANA BALI TUMEKUJA KUKOMOANA
 
MWEZI uliopita midaa ya saa mbili usiku wakati narudi gheto niko mdogo mdogo na stress zangu, wakati nakaribia kufika gheto ghafla jamaa mmoja aliekuwa amesimama pembeni njiani akaniita "kaka samahani" ikabidi nisimame. Nimsikilize jamaa ana shida gani..

Baada ya salamu jamaa akaanza kunieleza yanayomsibu ni kuwa ana hali mbaya sana kiuchumi ana mke na mtoto mmoja na hana kitu chochote chakula ndani na tangu asubuhi ameondoka mke na mtoto wake hawajala kitu mpaka muda huu wanamsubili yeye arudi kutoka kazini ili wale hata chakula cha usiku na bahati mbaya huko kazini alikokuwa anategemea hajapata kitu chochote hivo anaomba kama katika matumizi yangu nimebakiza hata chenji Tsh. 1000/= anaomba nimpe akanunue hata dagaa wale hata usiku huu tuu. Kesho ataona afanyaje..

Daaah niliingiwa na huruma hasa ukizingatia jamaa ni mtu mzima kunizidi na kwa upande wangu pia nimepitia maisha magumu sana sana hivo nilikuwa naelewa fika jamaa anazungumzia nini ..

To shorten the story..niilimpa jamaa kiasi kidogo tu cha pesa ambacho niliamini kwa familia yake kingemtosha usiku huo na asubuhi yake basi siku hiyo ikapita..

Kesho yake mida ya saa moja kasoro jioni..nimetulia zangu gheto nashangaa mtu anagonga mlango..kufungua naomuona jamaa wa jana (niliimaki sauiti) ..ila ikabidi nijifanye kama simkumbuki..basi tukakaa njee

Baada ya salamu ..jamaa akaniuliza kama namkumbuka..nikajibu hapana sikukumbuki..basi jamaa akajitambulisha upya..

Wazo lilonijia kichwani ni kuwa jamaa kaja kutoa shukrani kwa msaada wa jana..

Na ni kweli baada ya salamu jamaa akanishukuru sana kwa msaada wa jana..ila akasema leo ana shida nyingine ila leo hajaja kuomba kama jana badala yake anaomba nimkopee kiasi fulani cha pesa ana shida sana sana na mimi ndio msaada wake wa pekee hana msaada mwingine ..daah nilishangaa

Kiukweli pesa aliyokuwa anataka ni ndogo ila ni zaidi ya niliyompa jana..

Iakini pia siku hiyo alarm kichwani kwangu iligonga kuwa leo ni kama napigwa maana jamaa alikuwa na kaharufu fulani ka pombe japo maelezo yake yalikuwa straight sana..

Basi badaa ya kulia sana nimkopee..nikaamua sio mbaya..nimepoteza vingapi....nikampa nusu ya pesa aliyokuwa anahitaji..akashukuru sana..akaondoka..

Aisee sijakaa hata nusu saa nashangaa mtu huyu hapa tena anagonga mlango..kutoka ni jamaa

Nikamuuliza nini tena ndugu yangu..akasema anaomba saana sana yupo chini ya miguu yangu..jamaa alietakiwa kumsaidia kwa kiasi kile cha pesa amekataa kata kata kumsaidia anadai anataka hela yote ndipo atamtatulia shida yake..daah nilichoka..nikamwambia ndugu yangu mimi sina hela hata hiyo nusu niliuokuazima nimechukua ya watu..

Jamaa akalia sana sana..daah nikaona sasa hii ni kelo na kuondoa kelo..kishingo upande sana nikampa nusu tena kwaiyo ikawa pesa imekamilika aliyohitajii..jamaa akashukuru sana akaondoka ila nikamsisitiza sana kuwa hiyo pesa niliyomuazima ni ya watu hivo kesho ajitahidi kurejesha..jamaa akanihakikishia kuwa kesho pesa inarudi..basi siku hiyo ikapita..

Kesho yake mida ile ile ya saa moja kasoro jioni jamaa huyu hapa..tena alinikuta nimekaa nje namsubili kwa hamu maana nilikuwa nawaza ikifika saa mbili usiku huyu jamaa hajaonekana nihesabu maumivu ile hela nimepigwaa...maana hadi muda huo nilikuwa sijui anakaa wapi japo alisema ni mtaa mmoja

Kwaiyo nilivomuona jamaa..nikafurahi sana nikajua pesa yangu hii hapa...aisee daah

Basi kama kawaida baada ya salamu jamaa akanishukuru sana kwa msaada wa jana na kumuamini

Ghafla badala ya kunipa pesa yangu..nikashangaa jamaa anaanza kueleza tena shida zake..mara anaomba tena nimkopee hela nyinginee..

Nilishtuka ikabidi nimuangalie jamaa vizuri usoni..nikawaza au jamaa ni chizi...lakini mbona mavazi yake ni ya kawaida tu..nikawaza au amelewa ..lakini mbona hana dalili japo kweli kulikuwa na kaharufu ka pombe..kwa mbali..

Nikamwambia kwa ukali kuwa leo pesa sina kwanza nilikupa pesa ya watu..na nadaiwa..jamaa akaendelea kulia lia..pale..hapo mimi tayari nimechafuka roho..

Ikabidi nimbane kuwa ile pesa ya jana ana uhakika ni kweli alikuwa na shidaa..akagomaa gomaa baada ya kumbana sana akaniambia kweli ile pesa ya jana alikuwa hana shida ilikuwa ni fix tu ila leo ndio anashida kweli..daah nilichoka..nikawaza inawezekana hata ile ya juzi ilikuwa ni fix pia ila nikakaushaa..basi jamaa akaondokaa..ila amenifanya nimekuwa muoga sana..nikimuona muhitaji napita mbali kabisaa saivi..

Ila nimejifunza kitu kama haujajiandaa kisaikolojia kupokea negative return ya msaada wako usimsaidie mtu..kwa sasa mambo ni mengi.

ROBERT HERIEL kuna mada moja alilizungumzia hili..alikuwa sahihi

Nawasilisha..
Ndo Tanzania yetu wanavyokwenda kukopakopa nje
 
Ukiniomba hela, tegemea nikupe kazi yenye thamani ya hiyo hela, ila hapa gender itazingatiwa.

Huwezi kuniomba 5k wakati kuna vijana wanaitafuta kutwa nzima kwa jasho.

Akiwa mwanamke wa makamo huwa nawasaidia ila dunia imebadilika sana, mwingine unamsaidia kumbe anaenda kukuloga, mwisho wa siku mambo yanaanza kwenda mrama
 
Jamaa akalia sana sana..daah nikaona sasa hii ni kelo na kuondoa kelo..kishingo upande sana nikampa nusu tena kwaiyo ikawa pesa imekamilika aliyohitajii..jamaa akashukuru sana akaondoka ila nikamsisitiza sana kuwa hiyo pesa niliyomuazima ni ya watu hivo kesho ajitahidi kurejesha..jamaa akanihakikishia kuwa kesho pesa inarudi..basi siku hiyo ikapita..

Hapa ulifeli big time
 
Kuna dada mmoja yupo pale mbeya (kabwe) nae ana kamtijdo kama hako.

Kabla ya kuniomba mimi jana yake nilimuona anaongea na mwanaume mmoja ni kama alikua anaomba kitu ila nikapotezea, nikamuona kasimamisha watu kama wawili hivi.

Kesho yake akanisimamish mm anaomba msaada wa pesa, nikamwambia sina. Ile narudi sijui keshasimamisha wengi so mimi kanisahau, akanisimamisha tena nikampotezea.
Mimi nilikutana na mwanaume mmoja mitaa ya Soweto Mbeya. Jamaa alikuwa anasema ametoka Songea yeye alikuwa mwalimu na alifukuzwa kazi tokana na vyeti feki sasa kuna mtu alimpigia simu aje Mbeya ili amuunganishie kazi kwenye shule private.

Alipofika Mbeya, jamaa hapokei simu na sasa ni siku 2 hajui afanyaje hivyo anaomba nauli arudi Songea. Binafsi nilijua ni sound tatu. Jamaa anaongea hadi machozi. Nikatoa 10,000 nikampa. Baada ya nusu saa namkuta Bar moja pale Soweto anapiga maji huku amechangamka. Kesho yake namkuta Sae na akawa amenisahau, kanisimamisha na kuanza kunieleza story zilezile nikamwambia nitakudai pesa niliyokusaidia jana. Hahaaaa, jamaa alishtuka kweli.
 
Back
Top Bottom