Huyu jamaa alikuwa anavizia kuiba usiku mitaa ya ubungo

MLULUNI

Member
Nov 30, 2011
13
0
Katika pitapita zanying c nikamfuna kibaka ucku anataka Chana wavy.
 

Attachments

  • IMG_20120115_174406.jpg
    IMG_20120115_174406.jpg
    153.2 KB · Views: 526
majungu jazz band...mchana kweupe unasema usiku,nyie ndio mgeuzao mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchana,acha majungu kijana mwizi gani anakuaga na confidence hivyo tena bila shati,tall wa watu alikua anarekebisha antena ya tv yake unasema mwizi,na wewe huko mkiona mwizi mnampiga picha au mnamkamata?
 
Halafu mbona kama kasimama kwa mbali hata hachungulii kwa umakini ni km amezoea na anaongea na mtu
 
Mkuu wewe muongo. huyu dogo anasoma udsm. anakaa ubungo pale nyuma ya msikiti. na hapo ndo getto kwenu. uongo uongo? Mia
 
Dhana ndizo zilizo waua wengi.ulijuaje kama huyu jamaa mwizi?Je aje mtu aseme wewe ndio mwizi mkubwa mitaa ile itakuwa vipi?Asilimia kubwa ya wezi uwaona wengine wezi na ndio wanaowasababishia maumivu ya kuchomwa moto bila hatia
 
Ndugu zangu hebu tujaribu kuwa makini hata tunapoandika vitu na kupost tujaribu ku pima,sasa wewe unasema
huyu alikuwa ni mwizi anaiba usiku wakati ni mchana?halafu wewe umemuona mwizi anaiba ulichukua hatua gani?zaidi zaidi
uliishia kupiga picha na kutuwekea imetusaidia nini hii sasa?acha utoto
 
bora hata ungefanya editing ktk hiyo photo ili ionekane usiku kama lengo lako ilikuwa kuchangamsha jukwaa, ningefurahi zaidi kama hii picha ikiondolewa hapa maana huu si uungwana
 
uongo mwingine sio mzuri angali ni watu gani unao taka kuwadanganya!
 
Dah Kamera yako kali mkuu....inabadilisha picha ikipgwa usiku ionekane imepigwa mchana...mchana ionekane usiku mazingira yake...
halafu jamaa hapo sio anataka kuchana wavu...hapana...anamshtua beki tatu....hawa ndo wale wanavizia watu wasepe kwenye mihangaiko wao wanashughulika na beki tatu ambao utulivu ni sifuri
 
Back
Top Bottom