Paul the Apostle, commonly known as Saint Paul and also known by his Hebrew name Saul of Tarsus, was a Christian apostle (although not one of the Twelve Apostles) who spread the teachings of Jesus in the first-century world. Hakuwa hata katika wanafunzi 12 na hakuna sehemu Paul katajwa kuwa ni Prophet. Yeye alidai kushukiwa na YESU kama leo unasikia manabii fake wanafufua wengine wameshukiwa muhimu vihoja na kuna watu wanawaamini kabisa.Kusema Paulo hakuwa nabii labda n kwa sababu huzijui sifa za nabii.