Wadau ndani ya jamii zetu kuna mambo na vijambo yani hata sielewi watu wengine wana akili kweli au matope lakini sio ishu tumeambiwa tukubali diversities coz hatulingani.
Turudi kwenye mada sasa.
Hapa kwetu kuna ka n'gombe kamoja ka maziwa na kwasababu ya ubize wa sisi watoto wa kiume imelazimu kutafta houseboy ambaye atakua anahusika na kazi ndogo ndogo pamoja na kumhudumia huyu mfugo mmoja.
Tumempata jamaa kutoka Iringa kama kawa ana kama 27 years na ana piga kazi balaa.
Kama unavyojua tena ma gateman kwenye Bongo muvi karibu wote wanakuaga kama minara flani ivi yani netwok inasearch mda wote wanakuaga kama na mawenge ivi(wengi wa hawa wafanyakaz wanaotoka vijijini wanakuaga hivo)
Jamaa tumekaa nae kama mwaka mmoja sasa anapiga kazi haswa na hajawahi kutetereka kiafya japo kazi anazofanya ni ngumu sana.
Sasa kuna rafiki ake tunaishi nae mtaa mmoja hapa akamshauri waende kupima ukimwi kweli housboy wetu akaenda kuchek wakamwambia anao tena afanye fasta kuanza dawa. Hakuamini akarudi home akamwambia maza, so maza akamshauri aende kwenye zahanati nyngne alivyoenda majibu yakawa hayo hayo tena wakamwambia aanze dawa fasta.
Jamaa karudi hom akampa ripot maza so maza akamwambia aanze dozi jamaa kakataa kasema liwalo na liwe hawez meza dawa na kijijini harudi ataendelea na kazi zake kama kawaida.
Tatizo ni kuwa kabla hajapima alikua anamtongoza housgel wa hapa hom dem akasema kwa maza maza akamshauri awe na msimamo asikubali tukajua baada ya kupima ataacha hii tabia. Juzi mdada wa kazi analalamika tena kwa maza kuwa jamaa anamtongoza, then kahamia kukatongoza ka beki tatu ka jirani na bahat mbaya wengi wanamtosa coz hana hadhi kisa mkata majani ya mifugo.
Hebu nishaurini wadau tumfanyeje huyu jamaa manake anasema kwao harudi na dawa hamezi sasa tunapata mashaka akianza kuumwa itakuaje.Ni stori ya kweli wadau.
Napata mashaka na washauri nasaha alikoenda kupima manake wameshindwa kumshawishi kutumia dawa na kumpa maadili ya kuishi na ngoma. Kwa sasa home tunaishi nae vizuri tu na anaendelea na kazi zake lakini bado tuko dilema