Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,043
Nimeupenda ujumbe, hasa hapa >>> "kung'ata nyoka ni asili yake, nami kusaidia ni asili yangu".....
Hahahahaawewe! ntakuletea mswaki na colgate - visting dei
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]I like this msg.
Bwana mmoja alimuona nyoka akiungua na moto kiasi afe, akaamua aokoe maisha yake kwa kumtoa. Alipofanya hivyo aling'atwa na yule nyoka na kumuachia maumivu makali yaliyosababisha amuachie na hatimaye yule nyoka akaangukia tena ktk moto. HATA hivyo yule bwana aliamua kumuokoa tena yule nyoka ila safari hii akichukua tahadhari asing'atwe tena.
Mtu mmoja shuhuda wa lile tukio akamuuliza "ya NINI ujisumbue kuokoa maisha ya huyo nyoka aliyehatarisha maisha yako kwa kukung'ata?"
Yule bwana akajibu, kung'ata nyoka ni asili yake, nami kusaidia ni asili yangu
Wapo watu utakaojitoa kwao na kuwasaidia kuwatoa katika hatari ila mwisho wa siku watakung'ata na kukukejeli. Hawana shukran.
Inafika mahali na wewe unataka kuwa kama wao, KUMBUKA,
Wapo ambao hiyo ndio sifa yao...Wewe fanya moyo wako ulivyo.
Usilipe baya kwa baya na wala usipoteze moyo mwema ulionao, ila jifunze kuchukua tahadhari.
Kazi ya Control C na Control V
Nakuombea saana kaka.... Naamini ukimaliza mguu wa kwanza utakuwa huku... Huu ujumbe wako umenibariki sana asubuhi hiiKAKA ile mitihani pale "kilingeni" ndio namaliza leo! Freedom is coming tomorrow
Mungu awe nawe umezungumza ukweli asilimia 100I like this msg.
Bwana mmoja alimuona nyoka akiungua na moto kiasi afe, akaamua aokoe maisha yake kwa kumtoa. Alipofanya hivyo aling'atwa na yule nyoka na kumuachia maumivu makali yaliyosababisha amuachie na hatimaye yule nyoka akaangukia tena ktk moto. HATA hivyo yule bwana aliamua kumuokoa tena yule nyoka ila safari hii akichukua tahadhari asing'atwe tena.
Mtu mmoja shuhuda wa lile tukio akamuuliza "ya NINI ujisumbue kuokoa maisha ya huyo nyoka aliyehatarisha maisha yako kwa kukung'ata?"
Yule bwana akajibu, kung'ata nyoka ni asili yake, nami kusaidia ni asili yangu
Wapo watu utakaojitoa kwao na kuwasaidia kuwatoa katika hatari ila mwisho wa siku watakung'ata na kukukejeli. Hawana shukran.
Inafika mahali na wewe unataka kuwa kama wao, KUMBUKA,
Wapo ambao hiyo ndio sifa yao...Wewe fanya moyo wako ulivyo.
Usilipe baya kwa baya na wala usipoteze moyo mwema ulionao, ila jifunze kuchukua tahadhari.
Kazi ya Control C na Control V
When a good girl goes mad. She is gone forever.Nilichogundua ukiwa na roho nzuri (walio wengi) huwezi kubalika hata utendewe vipi?
Ni rahisi kwa mwenye roho mbaya kubadilika kuwa mwema kuliko mwenye roho nzuri kubadilika kuwa mbaya.
Imeandikwa kwenye vitabu vya dini kuwa,Atakugonga kisigino nawe utamponda kichwaKuishi kwa kufuata falsafa za kinyonge kama hizi ni kujitengenezea taabu zisizoisha maishani..the world is too cruel! anaekuchezea 'rafu' tenga penalty mtandike bao!
Aisee unapata kinywaji gani ?Ni hivyo Hamna namna ni kumfyatua tu maana ukichelewa atakuadhibu balabala !Kuishi kwa kufuata falsafa za kinyonge kama hizi ni kujitengenezea taabu zisizoisha maishani..the world is too cruel! anaekuchezea 'rafu' tenga penalty mtandike bao!
Mkuu ninatumia jibapa! mifano hai tunayo, tumejeruhiwa vibaya na ndugu tena wa damu bila huruma, kwa ambao hawajaexperince ukatili wa binadamu ndio wepesi wa kuleta blaa blaa kama hizi za mleta mada.Aisee unapata kinywaji gani ?Ni hivyo Hamna namna ni kumfyatua tu maana ukichelewa atakuadhibu balabala !