Huyu hapa ni wewe zama zile kataa sasa....

FuturePresident

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
321
54
Wewe ni huyu hapa umeshajiona?
image001 (1).jpg
 
Nimeipenda sana Mkuu! Wamependeza kinyumbani kabisa yani. Inanikumbusha mbaaaaliii. Nyie mlozaliwa mijini mambo haya kwenu ni viroja.
 
moz-screenshot.png
Kwa wale tuliokulia uswazi hali hii hatukuipitia, tulikuwa na nafuu fulani! Ila kwa wale waliokulia bushi hali ilikuwa kama hivi!
 
Dudu za kiume kuonekana katika jamii sio ishu,,ila za kike zinafichwa sijui kwanini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom