ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,873
Ukitafakari Kauli zake, matendo yake, utagundua kuwa kwa mara ya kwanza tumempata asiyejali lolote. Kutokujali kwake kunatafsiriwa kuwa ni Ujasiri.
Rejea Kauli na matendo yake kwenye maeneo haya.
1. Uhaba wa sukari.
2. Mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu.
3. Sakata la udom
4. Demokrasia ya Vyama vingi.
5. Uhuru wa Vyombo vya habari
6. Tetemeko la ardhi Kagera
7. Ajira na nyongeza ya mishahara.
8. Kutumbua majipu
Haya ni maeneo machache.
Baada ya kuondoka mpenda mshiko, wakaamua kutuletea asiyejali, Mungu anawaona.
Rejea Kauli na matendo yake kwenye maeneo haya.
1. Uhaba wa sukari.
2. Mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu.
3. Sakata la udom
4. Demokrasia ya Vyama vingi.
5. Uhuru wa Vyombo vya habari
6. Tetemeko la ardhi Kagera
7. Ajira na nyongeza ya mishahara.
8. Kutumbua majipu
Haya ni maeneo machache.
Baada ya kuondoka mpenda mshiko, wakaamua kutuletea asiyejali, Mungu anawaona.