Ha ha ha. Jenerali Qassem kafa kikondoo sana haijapata kutokea kwa mtu wa rank yake. Nasikia Guiness Book of Records wamesha update revords zao kuingiza hiki kituko. Mshamswalia au bado?
Tayari keshapatikanaAtapatikana tu, walikuwepo mahiri kuliko yeye.
Acha kashfa za kidini dadaSaa hizi anapapasa yale madude 72 kwani kwa hakika huyu pepo ni yake alikotangulizwa na wamarekani baada ya kufanya maujinga yake.
UnasemaPro america mtapata tabu sana
Unapambana na USA uku unatumia Twitter, Facebook, Google, iPhone, window, Visa, Master card, Symbian, Instagram, Android, Wikipedia, internet na wakati izo zote ni silaha kwa USA anaweza akaanza kutrace account zote kukutafutaHa ha ha. Jenerali Qassem kafa kikondoo sana haijapata kutokea kwa mtu wa rank yake. Nasikia Guiness Book of Records wamesha update revords zao kuingiza hiki kituko. Mshamswalia au bado?
huyu hapa mkuu nasikia trump na israel wakisiki jina lake wanaanza kuhara!