Huyu General Qassem wa Iran ni nani mbona mashariki ya kati nzima wanamuogopa?hata obama aliwahi mzungumzia

huyu hapa mkuu nasikia trump na israel wakisiki jina lake wanaanza kuhara!
alalam_635618587748518994_25f_4x3.jpg
Ndio maana Trump akamuua
 
Na Maandamano wameandamana... Ila Mwenyezi Mungu amuweke pahali panapomstahili huko alipo now...
japokua marekani kafanya uhalifu kumuua huyu jamaa ila jamaa naye kasababisha mauaji ya wengi sana mashariki ya kati kwenye harakati zake kama head wa IRGC, naamini muumba atamuweka mahali anapostahili
 
Back
Top Bottom