Huyu General Qassem wa Iran ni nani mbona mashariki ya kati nzima wanamuogopa?hata obama aliwahi mzungumzia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Huyu ni kamanda wa jeshi la mapinduzi ya iran (sepah)


Huyu jamaa ni maarufu sana na pia ni miongoni mwa watu mahiri mnoo


Jamaa anaogopwa mno na israel hata mossad wametafuta mbinu nyingi za kumuua wamefeli



Kuna wakati hata Obama aliwahi kusema anatamani hata majeneral wa marekani waige mfano wa Huyu kamanda wa iran

Wajuzi ni nani huyu jamaa haswaa???nasikia pia ndo aliongoza kile kikosi kilichovurumisha makombora 56 huko israel wakat israel iliposhambulia kambi za iran huko syria

Karibuni.....
 
huyu hapa mkuu nasikia trump na israel wakisiki jina lake wanaanza kuhara!
alalam_635618587748518994_25f_4x3.jpg
 
shughuli zote chafu za iran znaongozwa na huyu jamaa, commands za hamas,hezbollah na houthi zko chini ya huyo jamaa...............pia yupo kwenye assasination list ya israel hvyo huwa haonekan hadharan kizembe,
Hilo la kutoonekana hadharani so kweli,kila Mara anakua front line,iwe ni Iraq au Syria,
Huyo ni kamanda wa revolutionary army au Quds,
Kinachompa sifa ni mbinu zake katika medani ya vita
 
shughuli zote chafu za iran znaongozwa na huyu jamaa, commands za hamas,hezbollah na houthi zko chini ya huyo jamaa...............pia yupo kwenye assasination list ya israel hvyo huwa haonekan hadharan kizembe,
Inasemeka iran nao wana shirika imara la ujasusi mno
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom